Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mungu mbariki Tundu Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfateni tundu huko nanyi mfulahie maisha yao hao beberu.Aliyempa uwaziri shoga Lugola anamshabikia nani au yale majeshi aliyokodi kutoka Burundi?
Hawakuwa na namna tu ya kumkamata tu wangeweza kufanya hivyo.
Sasa tuambie huyu yuko hai au amekufaAndamana
Ni yeye,!!Mungu mbariki Tundu Lissu
Hiki ndicho nachokiona, hivi nani anamshauri jiwe kuendesha nchi kwa vitisho? Nani anamdanganya jiwe kujaza bungeni wabunge wa chama chake tu ndio maendeleo?Kama tungekuwa na viongozi wenye akili wangejitahidi kuhakikisha hawa viongozi wa upinzani wanabaki nchini.
Sasa ushindani kati ya Jiwe na Wapinzani unaenda kwenye ngazi ya kimataifa, ambako kwa kipimo chochote kile, Jiwe ni dhaifu sana.
Andamana mkuuSasa tuambie huyu yuko hai au amekufa
Kweli kesi zake wana mtihani..Nasubiri kusikia watafanya nini na kesi zake?
..Nadhani wataona aibu kusema wamezifuta.
Mliogopa kuingia kwenye mgogoro wa moja kwa moja wa kidiplomasia na hayo mataifa mawili, wacha povu.Hata Demokrasia ya kimataifa hauilewi Maafisa wa Ujerumani wanatumia Sheria na Kanuni gani kumsindikiza huyo. Unafikiri nchi zinaendeshwa kishoga shoga eeh ? Kinga yao inaishia kwenye Jengo lao la Ubalozi nje ya hapo Sheria za Tanzania yetu zinafanya kazi.
Tumekusikia sasa jibu uliloulizwaAndamana mkuu
Unajisifu kwa kuzuia maandamano ya amani kwa kuwajaza wanajeshi kufagia barabara? Akili matope kabisa! Lengo la maandamano ya amani unadhani ni kushindana na vikosi vya dola?Mkaimbishwa wimbo wa maandamano yasiyo na kikomo, msivyo na akili mkashangilia......wakati mwenzenu alikuwa na tiketi yake
Kakuambia amekimbia? Yeye sio mkimbizi na ndio maana passport yake mpya kapelekewa Jana ubalozini na Airport kaondoka kwa Uhuru wake bila bughuza zozoteHuyu Lissu hadhi yake ya sasa ni mkimbizi! Maana yake hawezi akafanya siasa tena, hasa siasa za kuikashifu au kuhusu nchi aliyo kimbia, hiyo ni sheria inayo mhusu mkimbizi yeyote. Hivyo mwisho wa Lissu kisiasa umefika Hatakuwa na uwaja mwingine wa siasa hana.
..maana yake serikali ya Tanzania imesalimu amri.
..imeogopa kumkamata Lissu kwani ingechukuliwa hatua na serikali ya Ujerumani.
Chama kama chama, kiko imara kuliko inavyo dhaniwa. Chukua hiyo bila shaka yeyote
hali inazidi kua mbaya katika chama pendwa
Mkuu stay tuned muda kidogo MAMBO yatakuwa wazi heavy load inakuja....Hiki ndicho nachokiona, hivi nani anamshauri jiwe kuendesha nchi kwa vitisho? Nani anamdanganya jiwe kujaza bungeni wabunge wa chama chake tu ndio maendeleo?
Kuna muda nafikiria nakosa majibu
Baharia Mhe. Kasema hana mpango tena wa kuteua makada.Panya ukimuona nyumbani ukimkimbiza angalia shimo anakokimbilia huko ndio Kwao Lema na Lissu wamekimbizwa Tanzania wamekimbilia mashimo ya Kenya na Kutaka kwenda USA kwa Lema ukimbizi kwa Lema na Lissu katimukia ubalozi wa ugermani na ubelgiji huko ndiko shimo lake alikotokokea.
Mungu mwema katuonyesha watanzania panya hawa tuliowakimbiza wametokea mashimo yepi.
Toka mwanzo tuliambiwa Chadema wamiliki Ni wakenya ,wazungu na wamarekani tumeshadhibitisha wanaenda kwenye mashimo yao.