SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,338
- 4,676
Sasa uliandamana? Au unataka wao watangulie huku wewe ukiwaangalia katika Runinga, Nyumbani kwako? Kama unaona hawajatimiza wajibu wao ipasavyo wewe onyesha mfano. Hakuna mtu ambaye amezaliwa kwa ajili ya kupambania haki zako.Ndugu yangu hawa watu sio wazuri kabisa, afu ndio walikuwa wanatuhimiza watu tuandamane. Sasa hivi maandamano hakuna wanatukimbia. Je, maandamano ?yangekuwepo si wasingeonekana kabisa kama jasho la samaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mliogopa kuingia kwenye mgogoro wa moja kwa moja wa kidiplomasia na hayo mataifa mawili, wacha povu.
Mbona siku ile mmemchukua nje ya ubalozi wa ujerumani mlifuatiliwa kwa nyuma na mzungu mkaogopa mkaenda kumuachia Oysterbay? wacha kupayuka, mnajua record yenu sasa hivi ni mbaya kwenye masuala ya demokrasia na utawala bora, hamuwezi kuendelea kuharibu mbele ya hao wazungu.
Familia aliicha huko huku alikuja aingize wajinga barabarani wakishavunjwa miguu na wengine kuuawa akimbilie ubalozini halafu asepe kama hiviNa yeye kaondoka na familia? [emoji16]
Poleni sana, mmeishia kuaibika tu. Bado mnahitaji misaada ya mabeberu.Sheria za Kimataifa ziko wazi kuhusu Ubalozi na hii ni Dunia nzima, nchi ya Ujerumani haiwezi kuzivunja hata siku moja sababu ya huyo wenu, isitoshe hata kama angekwenda Ubalozi wa Komoro asingeshikwa pia, ...
Nadhani mkuu'Joka' kakosa neno sahihi la kutumia hapo, ikamlazimu alitumie hilo hilo la "busara" hata kama haliendani na alichotaka kuwasilisha.Serikali haina busara hii tuache kuipaka mafuta wakati imejaa kinyesi
Kafanya kampen siku 60 hawajamuua mzeeMnataka abaki ili muue. No rule of law, despots
Endelea kutawala wewe ambaye Mungu amekwambia bila wewe Tanzania haiendeleiMission impossible!
It's a hard learned lesson, Watanzania "hawasomeki"
Ulikuja kama ulivyo na unaondoka kama ulivyo!
Wizi mmefanya, sasa mnabembeleza wabunge viti maalum ili mtambulikane kuwa MNA vyama vya upinzaniNi yeye,!!
[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Hadi huruma yani zile kelele zenu mmpeleka wapi?
Uongo tabia yake ya kisiasa na kawaambukiza vijana wengi ingawa siyo wote wa Chadema!Anakimbia huku anasema sikimbii, ha ha ha duh.
Akifika huko kwao Belgium atasema Tanzania bado kuna coronaLeo amekumbuka kuvaa barakoa wakati kwa muda wote wa kampeni kapiga pua nje
Inayo hata hiyo busara ?
Yule anaweza kufanya lolote kwa sababu hata busara kidogo hanaNadhani mkuu'Joka' kakosa neno sahihi la kutumia hapo, ikamlazimu alitumie hilo hilo la "busara" hata kama haliendani na alichotaka kuwasilisha.
Hata kichaa wakati mwingine hurudiwa na fahamu, akiona jambo/kitu hatarishi kwa uhai wake ni lazima ajiepushe na madhara. Hiyo ndio hali anayotumia dikteta wetu.
Usione kujipigapiga kifua akiwa kwenye TV ukadhani yupo tayari kukabiliana na hatari anazojua zitamwondoa kama kinyago.
Wewe wasemaKaenda kuendelea na matibabu yake, namtakia kila laheri.
..kwanini mtumie mawe wakati risasi na mabomu mnayo?🤣
Ndugu yangu,Magufuli alisema wazi kuwa Lissu anakuja tu kuchafua amani ya nchi ana uraia na tiketi ya ubelgiji
Kwahiyo alikuwa anawindwa na ccm siyo serikali?Kuna chama chenye busara kama ccm? kitendo cha kubadilisha tu wenyekiti inaonyesha busara za hali ya juu, sio chama flan mwenyekiti mpaka anatishia kuua watu kisa wanataka kua wenyekiti
Pasi shaka yoyote, hizi kesi ndio imebaki turufu yao kuu ya kummaliza Tundu Lissu, kumbe yeye alishauona mchezo kungali mapema kabisa...Nasubiri kusikia watafanya nini na kesi zake?
..Nadhani wataona aibu kusema wamezifuta.
Hujielewi kabisa, mmeshindwa kujibu hoja zake zote then unaandika pumba tu.Tundu Lisu siyo intelligent man, kama mnamuona tofauti basi hata ninyi mna matatizo pia, kama angakuwa intelligent angeweza kufanya vizuri sana tena sana tu, lkn wapi, ...