SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,338
- 4,676
Sasa uliandamana? Au unataka wao watangulie huku wewe ukiwaangalia katika Runinga, Nyumbani kwako? Kama unaona hawajatimiza wajibu wao ipasavyo wewe onyesha mfano. Hakuna mtu ambaye amezaliwa kwa ajili ya kupambania haki zako.Ndugu yangu hawa watu sio wazuri kabisa, afu ndio walikuwa wanatuhimiza watu tuandamane. Sasa hivi maandamano hakuna wanatukimbia. Je, maandamano ?yangekuwepo si wasingeonekana kabisa kama jasho la samaki.
Sent using Jamii Forums mobile app