Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Ulisoma post zangu huko juu. ? ,Hivi waburundi wametoka Sayari ya Mars? Mbona tunakwenda kwao mara nyingi. Wacha kuleta usenge . Mapolisi wanaongea kiburundi tunawasikia unasema tumeambiwa na wanajeshi? Hao wanajeshi wanatuhakikishia kuwa hao sI polisi ni wanajeshi kutoka BurundiKwahiyo unaambiwa na hao wanajeshi kwamba hapa nchini kuna wanajeshi toka burundi?
Wale wa Rwanda mlikuwa manasema wanamlinda mkulu wao walishaondoka?
Waruanda waulize waliokuambia ,au wapi nilikuandikia habari ya Rwanda?