Tundu Lissu aoneshwa gari lake lililomiminiwa risasi, ahesabu matundu ya risasi ashangaa aliponaje

Hii ni picha ya mgonjwa mwingine yeyote ila siyo ya Tundu Lissu. Huyo mshenzi Magufuli hakupata fursa ya kumuona Tundu Lissu akiwa majeruhi na alipanga kuwa baada ya kuuliwa maiti isije Dar es Salaam bali ipelekwe Ikungi Singida kwa mazishi.
 
kufa ni faida. kafa kapumzika wakati huyo aliyebaki anapata shida hata kutembea na analalamika ishara kwamba Bado kapoteza.

tatizo lisu alimzingua JPM na yeye akamfundisha jambo.

naamini hatakaa arudie hata kusingizia sisimizi.
 
Nadhamo kama wauaji wangekuwa na nia ya kumuua kweli, Asingepona.Nadhani hiyo ilikuwa ni warning tu na kumpunguza kasi.
 
Alipona kama Daniel alivyopona kwenye Shimo lililojaa simba wenye njaa kali kule Irani( Persia ya kale)
 
Acha upotoshaji. Magu hakwenda kumuona Lissu pia Lissu hakupelekwa DAR. Aliondokea Dodoma kuelekea Nairobi. Anyway, kama wauaji na wao waliuwawa ni habari njema.
Makonda bado yupo hajauliwa. Makonda ndiye aliyeongoza kikosi cha wauaji waliotaka kummaliza Lissu
 
Mbowe mtu Smart sana, na kama alisurvive utawala wa awamu ya 5 je unaamini anaweza kufanya maridhiano ya kibwege? Kwa sababu ipi ujinga? Ubinafsi? Uoga?
tatizo lisu alijifanya panya mabaka matokeo akaliwa Ili iwe fundisho Kwa wajinga wenzake kuleta ujuaji mbele ya mamaka Kwa kisingizio Cha demokesia na haki za kuletewa na mashetani.

hata Mimi nikiwa rais wakinizodoa nawapiga.
 
Mbowe mtu Smart sana, na kama alisurvive utawala wa awamu ya 5 je unaamini anaweza kufanya maridhiano ya kibwege? Kwa sababu ipi ujinga? Ubinafsi? Uoga?
Naamini hivyo hata mimi

Mbowe alishasema wao sio wajinga.

Kwamba mimi Bush Dokta naweza kujua siasa sana na janja ya ccm kuliko Mbowe nitakuwa najidanganya.

Mwisho wa Siku Mbowe na Lissu wanachokubaliana na viongozi wengine ndio hatua sahihi.

Hata kama ni kuungana na ccm
 
''Kumekuwa na maneno ya kijinga yanasemwa semwa ooh kakimbia hataki kutoa ushirikano wa uchunguzi, hayo maneno yanasemwa na wajinga wajinga tu,kama kuna uchunguzi mimi nipo hapa nitatoa ushirikano''

Lissu Leo baada ya kushuhudia gari
 
Angalao wameonyesha kumtendea haki,japo kiduchu🤔japo kwa kuchelewa.
 
Huyo lissu sasa sera yake ya kupigwa risasi 30 iwe ndio mwisho maana haina tija. Amelalia kudai msharahara na marupurupu yake hadi amelipwa. Alipoonana na rais samia kule ulaya badala ya kutoa hoja za kitaifa yeye kubwa ikawa kudai posho na mishahara licha kutokutaka kutoa ushirikiano na bunge. Akaendelea kulia kutaka kuuliwa hadi amepewa gari na kahesabu matundu ya risasi. Ukiona mwanasiaa kama huyo ujue ni mbinafsi mtetezi wa maslahi binafsi tu.
 
''Kumekuwa na maneno ya kijinga yanasemwa semwa ooh kakimbia hataki kutoa ushirikano wa uchunguzi, hayo maneno yanasemwa na wajinga wajinga tu,kama kuna uchunguzi mimi nipo hapa nitatoa ushirikano''

Lissu Leo baada ya kushuhudia gari
Pumbavu tu hilo. Hata huwezi muelewa maana hakuna kitu hapingi.
 
''Kumekuwa na maneno ya kijinga yanasemwa semwa ooh kakimbia hataki kutoa ushirikano wa uchunguzi, hayo maneno yanasemwa na wajinga wajinga tu,kama kuna uchunguzi mimi nipo hapa nitatoa ushirikano''

Lissu Leo baada ya kushuhudia gari
Waliosema kakimbia sasa kajan je uchunguzi utaanza?
 
Duh mwenzetu huwa unapata wapi muda wa kuhudumia familia yako?

Muda wote na mume wa watu
 
Leo ndio ameliona ,zile picha mlizokuwa mahesabu eti risasi 18 mara 36 mara 40 ulikuwa mnazitoa wapi na je Lisu hakuziona ?

USSR
Pale kwani hamna ya kupikwa na wewe au kundi lako😂
 
tatizo lisu alijifanya panya mabaka matokeo akaliwa Ili iwe fundisho Kwa wajinga wenzake kuleta ujuaji mbele ya mamaka Kwa kisingizio Cha demokesia na haki za kuletewa na mashetani.

hata Mimi nikiwa rais wakinizodoa nawapiga.
Hautakuja kuwa wewe wala kizazi chako chote

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu alitamka kwamba "askari wetu hawawezi kupiga risasi zote hizo halafu wakakosa target"...
 
Mungu alishaamua haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…