Tundu Lissu aoneshwa gari lake lililomiminiwa risasi, ahesabu matundu ya risasi ashangaa aliponaje

Leo ndio ameliona ,zile picha mlizokuwa mahesabu eti risasi 18 mara 36 mara 40 ulikuwa mnazitoa wapi na je Lisu hakuziona ?

USSR

Aliziona, je alipata nafasi ya kuhesabu? Kuna mtu alikuwa anaruhusiwa kuhesabu au hata kulisogelea hilo gari, zaidi ya vyombo vya dola na Serekali iliyokuwa ikipika data na propaganda?
 
Aliziona, je alipata nafasi ya kuhesabu? Kuna mtu alikuwa anaruhusiwa kuhesabu au hata kulisogelea hilo gari, zaidi ya vyombo vya dola na Serekali iliyokuwa ikipika data na propaganda?
Nimeliona zaidi ya mara mia sema hatufamiani humu

USSR
 
Shetani nae tumemmaliza
 
We utakua msukuma
kufa ni faida. kafa kapumzika wakati huyo aliyebaki anapata shida hata kutembea na analalamika ishara kwamba Bado kapoteza.


tatizo lisu alimzingua JPM na yeye akamfundisha jambo.

naamini hatakaa arudie hata kusingizia sisimizi.
 
Kumbe Makonda alihusika
 
Acha upotoshaji. Magu hakwenda kumuona Lissu pia Lissu hakupelekwa DAR. Aliondokea Dodoma kuelekea Nairobi. Anyway, kama wauaji na wao waliuwawa ni habari njema.

Huyo sio Lisu, bali lilitokea igizo la kuhadaa umma kuwa kuna mwanajeshi mstaafu naye alipigwa risasi, kisha Magufuli akaenda kumtembelea.

Lengo la hadaa ile ilikuwa ni kupumbaza watu wenye uelewa mdogo kuwa mashambulio ya risasi ni mambo ya kawaida na sio kwa Lisu tu. Pia ilikuwa kutaka kuonyesha hata ukishambuliwa na risasi hospitali zinaweza kutoa matibabu, na kupelekwa kwenye matibabu nje ni kukosa uzalendo. Hadaa nyingine ilikuwa ni kuonyesha kuwa Magufuli ni mtu mwema anaweza kutembelea wahanga wa mashambulio, hivyo kuwa hata Lisu angeenda kutibiwa muhimbili Magufuli angemtembelea. Lakini kwa jinsi mitandao ilivyowaumbua wakapoteza hilo igizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…