Tundu Lissu aoneshwa gari lake lililomiminiwa risasi, ahesabu matundu ya risasi ashangaa aliponaje

huko motoni ulimpeleka wewe na moto uliuwasha mwenyewe???????
 
huko motoni ulimpeleka wewe na moto uliuwasha mwenyewe???????
Kwani mimi ni Mwenyezi MUNGU?

Wewe ni muumini/mfuasi wa Mwendazake - maana alipokuwa pande hizi aliitwa 'mungu', 'yesu', 'mkuu wa malaika', 'jiwe' nk nk na yeye aliridhia kabisa! Na hilo swali lako linaonyesha ulivyo na unakosimama.
Tamaa na mambo yake ndio unayoyawaza, kuyatenda na kuyapenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…