Tundu Lissu aongoza kura za mtandaoni dhidi ya Mbowe kwa kura asilimia 84 dhidi ya 16

Inabidi wayaheshimu kama wanataka CHADEMA iendelee kuwa na wafuasi wengi kama ilivyo sasa. Wakiyapuuza ina maana wanapoteza around 80% ya wafuasi wake.
 
Hili tapeli litaondoka kwa aibu kuu.
Shida kubwa ni wale wabunge 19 wakiongozwa na Halima mdee wanatumia pesa nyingi nguvu kubwa kuhakikisha kuwa mbowe anaendelea kuwepo ili kuficha ufisadi wake na kuwasaidia kupata viti maalum uchaguzi ujao 2025
 
Mchagga mpiga vibunda hawezi sikia hii lazima akafanye figisu huko ndani ili apite aendelee kuzipiga.
 
Wafuasi wa Mbowe watakuja kukuambia, wapiga kura hawapo mtandaoni..

It's the same nonsense CCM has always been feeding us.
Ni kweli hawapo mitandaoni,huku kumejaa washabiki na wapiga kelele
 
Mitandao inapiga kura siku hiyo!
 

Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…