MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Umemaliza kila kitu. Ambaye atakubishia ni mwendawazimuLife isn't about working hard, it's about working smart...hata katika biashara unapotafuta masoko ni lazima ufahamu "Targeted Audience" yako ni ipi.
Hata kwenye mpira kinachoangaliwa ni magoli mangapi yameingia wavuni,timu yenye magoli mengi ndio hushinda,hata kama timu pinzani ilikua na ball possession kubwa na wamecheza mpira mzuri lakini wasipofunga ni kazi bure.
Yawezekana Lissu anapendwa na wananchi wa kawaida ila Mbowe akawawin wajumbe wanaopiga kura....
Nimechoka siwafundishi kila kitu✍️
View attachment 3183324
Kwa mujibu wa kura za maoni zilizo fanywa na Jambo online TV matokeo yapo hiv:
Watoa maoni: 12,148
Tundu Lissu kapata kura 10,204 sawa na 84%
Freeman Mbowe kapata kura 1,944 sawa na 16%.
Haya ni maoni ya watanzania walio nje ya mfumo wa Chadema. Wajumbe wa mkutano mkuu wana nafasi ya kuyakubali au kuyakataa.
Hili tapeli litaondoka kwa aibu kuu.
Sijaelewa hapo ulipoandika wananchi wanataka Chadema iongozwe na Mbowe.!
Wafuasi wa Mbowe watakuja kukuambia, wapiga kura hawapo mtandaoni..
It's the same nonsense CCM has always been feeding us.
Mbowe angeachana na hii kitu kama ana washauri wazuri
Life isn't about working hard, it's about working smart...hata katika biashara unapotafuta masoko ni lazima ufahamu "Targeted Audience" yako ni ipi.
Hata kwenye mpira kinachoangaliwa ni magoli mangapi yameingia wavuni,timu yenye magoli mengi ndio hushinda,hata kama timu pinzani ilikua na ball possession kubwa na wamecheza mpira mzuri lakini wasipofunga ni kazi bure.
Yawezekana Lissu anapendwa na wananchi wa kawaida ila Mbowe akawawin wajumbe wanaopiga kura....
Nimechoka siwafundishi kila kitu[emoji3578]
Huyo Mbowe hajajishitukia, kinachoendelea ni hata baadhi ya wapambe wake wanampigia Lissu, ila wakikutana na Mbowe wanamtabasamia kinafiki ili kuendelea kumfaidiView attachment 3183324
Kwa mujibu wa kura za maoni zilizo fanywa na Jambo online TV matokeo yapo hiv:
Watoa maoni: 12,148
Tundu Lissu kapata kura 10,204 sawa na 84%
Freeman Mbowe kapata kura 1,944 sawa na 16%.
Haya ni maoni ya watanzania walio nje ya mfumo wa Chadema. Wajumbe wa mkutano mkuu wana nafasi ya kuyakubali au kuyakataa.
ahamie wapi sasa!chama ni wanachama, kama Lisu amepigiwa kura na watu 10,204 wasio wanachama wa chadema, ana mtaji mkubwa wa wanachama, why keep fighting with people within the party while you have such a support? form your own party..or join any established party having such srufficient capital! hata asisumbuke kugombea..Lisu ahame chadema!
Mwishowe kura za wajumbe ndio msemaji kweliView attachment 3183324
Kwa mujibu wa kura za maoni zilizo fanywa na Jambo online TV matokeo yapo hiv:
Watoa maoni: 12,148
Tundu Lissu kapata kura 10,204 sawa na 84%
Freeman Mbowe kapata kura 1,944 sawa na 16%.
Haya ni maoni ya watanzania walio nje ya mfumo wa Chadema. Wajumbe wa mkutano mkuu wana nafasi ya kuyakubali au kuyakataa.
Mjumbe mwandamizi.Kwani wewe ni mjumbe
Hakuna suala la wajumbe hapo bali maelekezo kutoka juu na nguvu ya pesa..Yawezekana Lissu anapendwa na wananchi wa kawaida ila Mbowe akawawin wajumbe wanaopiga kura....
Nimechoka siwafundishi kila kitu✍️
Kwamba wajumbe wa kamati hawanaga smartphone au ??Waliompigia kura Lissu & Mbowe si wajumbe wa mkutano mkuu.
Ondoa hofu, hao wanaoelekeza toka juu hawatapiga kura wala kusimamia uchaguzi, wakati wanatoa hayo maelekezo hawakujua kama hila zao zitagundulika. Lissu atashinda kwa kishindo.Hakuna suala la wajumbe hapo bali maelekezo kutoka juu na nguvu ya pesa..
Kwani Mbowe hana haki ya kugombea uenyekiti, Mbona mmemuandama sana?Nani Hana kitambulisho Cha kupiga Kura? Mbona unaropoka. Mimi nimeshiriki maandamano yote ya CHADEMA kasoro ya juzi sikuwepo nilikuwa Kigali. Halafu Mimi kitambulisho ninacho. Sijui kwanini unawatuka a mashabiki kisa tu mwenyekiti wa CHADEMA. Hao mashabiki ndio wapiga kura mkutano mkuu, wanachama wa CHADEMA na pia wapiga kura wa CHADEMA uchaguzi mkuu. Kitendo Cha kuwadharau kitawapoteza daima.
Kapige kura wewe,acha kulia liaWewe ndiyo upo nyuma ya keyboard unakariri ujinga umeshiba pesa haramu za mbowe unapanga njama za kuiba kura za Lisu tambua mbowe atanunua uenyekiti kwa pesa nyingi lakini chadema itadhoofika sana kwa kukosa kuaminika kabsa
Asema bwana yupi huyo?Ndugu kuwa na nidham , tulio mtaani ndo tupo jf ,je nikisema hu mpumbavu nitakua nimekufunjia hesma ,sasa nasema hu mpumbavu na jrekebishe ,asema Bwana.
Usipo jirekebisha ,utavilingwa kama mpira asema Bwana