MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Umemaliza kila kitu. Ambaye atakubishia ni mwendawazimuLife isn't about working hard, it's about working smart...hata katika biashara unapotafuta masoko ni lazima ufahamu "Targeted Audience" yako ni ipi.
Hata kwenye mpira kinachoangaliwa ni magoli mangapi yameingia wavuni,timu yenye magoli mengi ndio hushinda,hata kama timu pinzani ilikua na ball possession kubwa na wamecheza mpira mzuri lakini wasipofunga ni kazi bure.
Yawezekana Lissu anapendwa na wananchi wa kawaida ila Mbowe akawawin wajumbe wanaopiga kura....
Nimechoka siwafundishi kila kitu✍️