Tundu Lissu aongoza kura za mtandaoni dhidi ya Mbowe kwa kura asilimia 84 dhidi ya 16

Tundu Lissu aongoza kura za mtandaoni dhidi ya Mbowe kwa kura asilimia 84 dhidi ya 16

Wengi waliotoa maoni ni wana CCM na wanaharakati wa mitandaoni kwa hivyo hayana uhalisia wowote na kazi inayokwenda kufanywa kwa BOX.
 
Ni ujinga kufuatilia kura za maoni mtandaoni badala ya Katiba ya CHADEMA.

Watoa manoni yawezekana hakuna hata mmoja ambaye ni mwanachama wa CHADEMA. NA akiwa mwanachama utakuta siyo mjumbe wa mkutano mkuu wa CDM ambao ndiyo wapiga kura.

Kwa taarifa yako FAM anashinda kiti cha UWENYEKITI kwa kura 70%, kukingali asubuhi na mapema
Mbowe hatashinda kwa kura bali mbowe atapora ushindi wa lisu kwa njia haramu za kichakachuaji licha ya kutumia mabilioni kuwapa msaidie kupiga debe
 
Bahati mbaya hao karibu wote sio wajumbe wa mkutano wa uchaguzi
Wabongo bhana, wanatetea demoghasia mbowe kachukua form oooh kwann kachukua form kwaiyo Tundu Lissu mlitaka apite bila kupingwa!? Demoghasia wengi wape, wajumbe tupeni mwenyekiti chadema mumpemdae😀😀
 
Washabiki wa mitandaoni mngekua mnazingatiwa ccm ingeshasahaulika

Humu mmejaa nyuma ya keyboard mnajazana ujinga tu na matumaini hewa, field hamuonekani.

Nyie hata vitambulisho vya kupiga kura hamna 🙆
Wewe ndiyo upo nyuma ya keyboard unakariri ujinga umeshiba pesa haramu za mbowe unapanga njama za kuiba kura za Lisu tambua mbowe atanunua uenyekiti kwa pesa nyingi lakini chadema itadhoofika sana kwa kukosa kuaminika kabsa
 
Wabongo bhana, wanatetea demoghasia mbowe kachukua form oooh kwann kachukua form kwaiyo Tundu Lissu mlitaka apite bila kupingwa!? Demoghasia wengi wape, wajumbe tupeni mwenyekiti chadema mumpemdae😀😀
Mbowe anatumia pesa nyingi kununua uenyekiti akihofia madudu yake ya ufisadi pesa za chama kujulikana endapo atatoka madarakani
 
Ukiwa huna pesa za kula nenda kwa mbowe kachukue pesa ipo ya kugawa bure
 
View attachment 3183324

Kwa mujibu wa kura za maoni zilizo fanywa na Jambo online TV matokeo yapo hiv:

Watoa maoni: 12,148

Tundu Lissu kapata kura 10,204 sawa na 84%

Freeman Mbowe kapata kura 1,944 sawa na 16%.

Haya ni maoni ya watanzania walio nje ya mfumo wa Chadema. Wajumbe wa mkutano mkuu wana nafasi ya kuyakubali au kuyakataa.
Waliompigia kura Lissu & Mbowe si wajumbe wa mkutano mkuu.
 
Waliompigia kura Lissu & Mbowe si wajumbe wa mkutano mkuu.
Kama chama kinahitaji kuungwa mkono na wananchi hiyo ndio hali halisi. Ila wanaweza kuwapuuza vile vile wao ndio wajuzi zaidi.
 
Nani amshinde Nkulunziza?🤨
Nguluzinza akitumia hela kuiba kura, Lisu atumie nguvu ya umma kurudishiwa kura zake zilizoibiwa.

Kama nguvu ya umma inaweza kupambana na polisi wenye silaha za moto watashindwaje kupambana na genge la Nguluzinza lililojichokea kwa konyagi?
 
Ni ujinga kufuatilia kura za maoni mtandaoni badala ya Katiba ya CHADEMA.

Watoa manoni yawezekana hakuna hata mmoja ambaye ni mwanachama wa CHADEMA. NA akiwa mwanachama utakuta siyo mjumbe wa mkutano mkuu wa CDM ambao ndiyo wapiga kura.

Kwa taarifa yako FAM anashinda kiti cha UWENYEKITI kwa kura 70%, kukingali asubuhi na mapema
Free and fair election, Tundu Lissu anamshinda Mbowe kwa aibu ,kwa landslide victory!!!

ni chungu, lakini ni dawa meza kama ilivyo!!!
 
Back
Top Bottom