Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Nakuona unavyotesekaMimi sina shida kama Lisu na Chadema muneamua kuwaibia wa marekani na ulaya mtajiua
Lakini waibieni kwa kutumia common sense pia!!; Ulaya Marekani na Afrika hatuna vijiji viko so populated na kuwa na population kubwa kama hiyo mliyoweka.
My call to Amsterdam and Company Ltd whether you are in Europe or America mind your wallets the bus you are in has a lot of thieves lead by chief bus conductor Tundu Lisu