Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Katika namna kama hii tena vijijini atapataje usingizi?Magu sijui kama atapata usingizi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika namna kama hii tena vijijini atapataje usingizi?Magu sijui kama atapata usingizi!!
Ukiona hivyo ujue ndiyo ukombozi unakaribiaHapa mahambe kijiji kizima kimesimmka
umeandika kwa hisia na bashasha kali mno. kuna watu wanateseka sana na muandiko wakoMgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ameingia jimboni kwake Singida Mashariki na kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa katika Jimbo Hilo..
Hakika umekaribiaUkiona hivyo ujue ndiyo ukombozi unakaribia
Mungu Akubarikiumeandika kwa hisia na bashasha kali mno. kuna watu wanateseka sana na muandiko wako
Mmeshindwa kumkamata Ndugai ahojiwe, mnakwepa eti Mbowe mkamateni sasa, hamuwezi maanake ilikuwa ni "State Sponsored Thuggery".Huu uchaguzi unamtosha kabisa kuchanganyikiwa na Ile sonona yake risasi tumuachie mbowe na dereva wa lisu
Kwani ninyi migomba mnapokusanyika huwa mnavaa barakoa?Lissu asisitizwa wananchi wasikusanyike na wavae barakoa bana. Mbona CHADEMA WASANII WA KISIASA SANA NYINYI
Hivi nyi kwa nn mnakua Kama nyumbu?Kwani ninyi migomba mnapokusanyika huwa mnavaa barakoa?
Mimi sina shida kama Lisu na Chadema muneamua kuwaibia wa marekani na ulaya mtajiuaUnaweza kuta huyu jamaa ni kiongozi wa ccm !
Tena waziri,hana tofauti na yule Wa kuvuavua.Unaweza kuta huyu jamaa ni kiongozi wa ccm !
OK Americans and Europeans Mind your wallets In Africa we don't have any village that has a population that Lisu trays to portray to you to steal your moneyNatamani nikutandike ngumi moja matata ya kisogoni. Huwezi kuwa mchawi kiasi.
Hii nyomi unaiyona.Lisu na Chadema hiyo nyomi hamuwezi mdanganya yeyote kwenye hii dunia kuwa ni wanakijiji wa kijiji kimoja !! Hats waxungu mliozoea kuwalaghai hiyo nyomi hawawezi ikubali kuwa ya kijiji kimoja cha kwa Lisu!!! Huo uongo umekula kwenu
Wameenda kushangaa mpigwa risasi!!!!!Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ameingia jimboni kwake Singida Mashariki na kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa katika Jimbo Hilo.
Akiwa na msafara mkubwa wa magari, pikipiki, bajaji, baiskeli na Punda kiongozi huyo kipenzi Cha Watanzania ameingia rasmi kwenye Jimbo lake la Singida Mashariki alilokuwa mbunge kwa vipindi viwili kabla hajapigwa risasi 16 mwilini mwake na watu wanaoitwa wasiojulikana.
Lissu amelakiwa na wazee, wanawake, vijana, watoto na vikongwe huku wakitandika kanga na nguo ili mwanamapinduzi huyo anayepewa nafasi kubwa ya kushinda Urais kuweza kupitia juu yake.
View attachment 1532086View attachment 1532087View attachment 1532089View attachment 1532098Tunaendelea kuwaletea kinachojiri. Endelea kutufuatilia.
View attachment 1532105
Yaliyojiri baada ya Kuwasili Ikungi.
Hii ni historia.Hakika ndivyo tunavyoweza kusema.Kwa jinsi Lissu alivyolakiwa hapa wale waliotaka kumuua ni Kama Mungu ameshawapiga pigo Takatifu.
Mapokezi yake tumeelezwa na wazee hapa haijawahi kutokea tangia Uhuru wa Tanzania.
Watu Wazimia.
Wapo watu kadhaa ambao walizimia hususan baada ya kumuona.Wengine labda kwa sababu ya Furaha ya kumuona Tundu Lissu akitembea kwa miguu yake mwenyewe.Lakini wengine walizimia kutokana na umati mkubwa wa watu na kushindwa kuhimili.
Nyalandu aongoza mapokezi.
Kingine kilichovutia ni jinsi Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu alivyoongoza mapokezi ya Lissu.Nyalandu aliapa mbele ya umma wa watu wa Singida jinsi atakavyomuunga mkono Lissu mpaka ahakikishe ameapishwa kuwa Rais wa Tanzania.
Viongozi wa Dini na Kimila
Mara baada ya Kuwasili Lissu alifanyiwa maombi maalum na viongozi wote wa kidini na wale wazee wa Jadi.
Maombi hayo ni ya Kumlinda na kumkinga maadui zake hususan wale wabaya waliokula njama na kutaka kumuua.Kwamba wale wote walioshiriki ama kujua na kushindwa kuzuia waangamie kwa uovu wao.
Pia viongozi hao walimshukuru Mungu kwa jinsi alivyomkinga Lissu dhidi ya mkono wa Ibilisi.
Lissu Azungumza.
Akizungumza na halaiki hiyo ya watu Lissu aliwashukuru kwa mapokezi makubwa aliyopata kwenye Kijiji chake Cha Ikungi alikozaliwa.
Lissu amesisitiza kampeni bado hazijaanza na akasema kilichofanyika tu ni mapokezi ya kumlaki mtoto wao aliyeponywa na Mungu kwa makusudi maalum.
Lissu amewaeleza wanakijiji wenzake kwa kirefu jinsi alivyoshambuliwa na matibabu aliyopitia mpaka kupona kwake kwa miujiza.
LeMutuz, kwa jinsi mama yake wa kambo na Dada yake walivyozalilishwa awamu hii na Yohana.... Bado tu ana mapenzi na CCM. Kweli akili ni nywele.Cyprian Musiba na le mutuz wanatembea na sumu ya kumwekea Tundu lisu kwa mnaokaa huko Dsm mkiwaona wazomeeni kwa nguvu waache ushetani wao
Ni kina KibajajiUnaweza kuta huyu jamaa ni kiongozi wa ccm !