Tumia akili kidogo ...idadi ya watu Kijiji Cha Ikungi na Manispaa ya Zanzibar unaijua!Umeona mapokezi ya membe na Maalim seif huko Zanzibar?. Yale ndio mapokezi ya mgombea urais. Haya ya kwenu ni kikao cha familia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia akili kidogo ...idadi ya watu Kijiji Cha Ikungi na Manispaa ya Zanzibar unaijua!Umeona mapokezi ya membe na Maalim seif huko Zanzibar?. Yale ndio mapokezi ya mgombea urais. Haya ya kwenu ni kikao cha familia.
Sometimes tumshukuru magu awamu hii imepoteza wababaishani wengi, Pasco kwisha habari yake, hivi Pasco na lijuakali wanatofauti gani?Pascal kapotea Sana jukwaani
Mmeanza kumkubali jembe, wasalimie sweedenCorona na mikusanyiko vipi. Maana anaizungumzia sana, je anachukua tahadhari!
Wakati huo Magufuli hakuwa na nguvu kisiasa kama Lowassa. Isitoshe upinzani ulijiunga na kuweka mgombea Urais mmoja.Mwaka 2015 tuliona picha za kila aina zikiwemo za mifereji, mito, ziwa na Bahari yeye mafuriko lakini zote hazikufua dafu kwa CCM. Tujiandae kisaikolijia.
Kwani wewe unaonaje?Hayo ndio mapokezi ya kifalme?
Hayo ndio mapokezi ya kifalme?
Unataka kutuaminisha kuwa hawa tunaowaona wakimpokea Mh.Lissu kwa machozi ni wapiga kura wa CCM? Mnachekesha hadi raha,mbona hakupokelewa na kina Polepole?Hivi Wana Sacco's wa Cha Domo Alie waroga ni Nani Kuna amsha amsha,shangwe na nyomi Kama la lowasa? Na alishindwa zile Ni vionjo vya kusindikiza ushindi wa mgombea wa CCM na hivi mnavyo viona kwa huyo mgonjwa wa sonona lisu Ni muendelezo wa shamra shamra za ushindi wa CCM?
[emoji16] People'sHakika huu mwamba unapendeka kisawasawa! Hii ni baada ya kuchukua fomu ya kugombea urais na kuamua kurudi nyumbani kusalimia.
Mungu ni mkubwa mno.