Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
@Pascal Mayalla Amepotea jukwaani kwa maslahi ya TaifaPascal kapotea Sana jukwaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Pascal Mayalla Amepotea jukwaani kwa maslahi ya TaifaPascal kapotea Sana jukwaani
Umati wote huu upo nyuma ya Lissu.Hivi ndio kupokelewa kifalme na sio hapo kwenye tentView attachment 1532127
Punguza jazba na wivu Mkuu.Hivi Wana Sacco's wa Cha Domo Alie waroga ni Nani Kuna amsha amsha,shangwe na nyomi Kama la lowasa? Na alishindwa zile Ni vionjo vya kusindikiza ushindi wa mgombea wa CCM na hivi mnavyo viona kwa huyo mgonjwa wa sonona lisu Ni muendelezo wa shamra shamra za ushindi wa CCM?
Kwa hiyo mnaandaa risasi zingine upya!!Hivi Wana Sacco's wa Cha Domo Alie waroga ni Nani Kuna amsha amsha,shangwe na nyomi Kama la lowasa? Na alishindwa zile Ni vionjo vya kusindikiza ushindi wa mgombea wa CCM na hivi mnavyo viona kwa huyo mgonjwa wa sonona lisu Ni muendelezo wa shamra shamra za ushindi wa CCM?
Waziri wa propagandaMgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ameingia jimboni kwake Singida Mashariki na kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa katika Jimbo Hilo.
Akiwa na msafara mkubwa wa magari, pikipiki, bajaji, baiskeli na Punda kiongozi huyo kipenzi Cha Watanzania ameingia rasmi kwenye Jimbo lake la Singida Mashariki alilokuwa mbunge kwa vipindi viwili kabla hajapigwa risasi 16 mwilini mwake na watu wanaoitwa wasiojulikana.
Lissu amelakiwa na wazee, wanawake, vijana, watoto na vikongwe huku wakitandika kanga na nguo ili mwanamapinduzi huyo anayepewa nafasi kubwa ya kushinda Urais kuweza kupitia juu yake.
View attachment 1532086View attachment 1532087View attachment 1532089
Tunaendelea kuwaletea kinachojiri.....Endelea kutufuatilia....
Yuko Nyakabindi 88. Hujamsikia? Anakula bata huko.Pascal kapotea Sana jukwaani
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ameingia jimboni kwake Singida Mashariki na kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa katika Jimbo Hilo.
Akiwa na msafara mkubwa wa magari, pikipiki, bajaji, baiskeli na Punda kiongozi huyo kipenzi Cha Watanzania ameingia rasmi kwenye Jimbo lake la Singida Mashariki alilokuwa mbunge kwa vipindi viwili kabla hajapigwa risasi 16 mwilini mwake na watu wanaoitwa wasiojulikana.
Lissu amelakiwa na wazee, wanawake, vijana, watoto na vikongwe huku wakitandika kanga na nguo ili mwanamapinduzi huyo anayepewa nafasi kubwa ya kushinda Urais kuweza kupitia juu yake.
View attachment 1532086View attachment 1532087View attachment 1532089
Tunaendelea kuwaletea kinachojiri.....Endelea kutufuatilia....
ni ukweli mtupu Lowasa aliikuta nyomi CDM chama pendwa na wengi ndo maana hakwenda kujiunga CHAUMA wala SAU na wengineNakubaliana na wewe Tindo kweli Lowassa aliikuta nyomi CDM,nadhani hata 2010 wakati wa Slaa ilikuwepo.
Magufuli aende kwao mara ngapi c alifanya kampeni miaka5 na wameshamkinai hana jipya,ngoja Lisu aende huko kwao uone[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumbe kapiga nyomi kwao ngoja magufuli na yeye aende uko uone ndio utaona nguvu ya mzee wetu mpendwa alafu picha mbona hamtumi au mnasubir mu edit pia mkumbuke Kuna watu walideki lami na bado wakapigwa mtungo
Kwani kurudi chato ni kazi ngumu mbona Kuna chato airport labda Sheria ya uchaguzi iseme ukishindwa urais Rudi kwenu ya mguu itakuwa kazi ya ziada kwa mchato waoCCM mwaka huu wana kazi ya ziada!!
Awamu ya pili ndipo utawala huu wa mkono wa chuma utatamalaki zaidi, JPM na CCM yake sasa basi. Mitano ya Utawala wa Imla Yatosha.Wamekuja kushuhudia muujiza siyo Chadema!
Tambua kuwa Lowasa hakushindwa bali alitekeleza makubaliano yao ya kuhakikisha CCM inaendelea kutawala kwa kujifanya kukubali matokeo ambayo kiuhalisia alikuwa ameshinda na ndio maana zoezi la kuhesabu kura lilikuwa ni la ajabu ajabu kama ulifuatilia vizuri.Hivi Wana Sacco's wa Cha Domo Alie waroga ni Nani Kuna amsha amsha,shangwe na nyomi Kama la lowasa? Na alishindwa zile Ni vionjo vya kusindikiza ushindi wa mgombea wa CCM na hivi mnavyo viona kwa huyo mgonjwa wa sonona lisu Ni muendelezo wa shamra shamra za ushindi wa CCM?
Awamu ya pili ndipo utawala huu wa mkono wa chuma utakapotamalaki zaidi, JPM na CCM yake sasa basi. Mitano ya Utawala wa Imla Yatosha.Na uchaguzi huu pia lisu ana makubaliano maana hawezi kushinda? Baada ya uchaguzi tutakuja kufukua hii thread,mi nasema hakuna mgombea nje ya CCM anae weza kumshinda mgombea wa CCM yeyote anaejaribu anakuwa kwenye lile kapu la losers [emoji23][emoji1787]
Kuna mabadiriko makubwa sana na ya haraka yanatakiwa yafanyike kitengo cha Habari Chadema. Mtaaani hakulaliki hapakaliki watu wanataka habari za Lissu alafu wao wanalala. Hapana wanatakiwa wabadirike...kwa kweli idara ya habari ya CDM imesinzia.
..tukio la kihistoria kama hili wanashindwa kulirusha?