Tundu Lissu apata mapokezi ya Kifalme Kijijini kwao Singida

Tundu Lissu apata mapokezi ya Kifalme Kijijini kwao Singida

Mwaka 2015 tuliona picha za kila aina zikiwemo za mifereji, mito, ziwa na Bahari yeye mafuriko lakini zote hazikufua dafu kwa CCM. Tujiandae kisaikolijia.
Kwani CCM ilishinda au ilitangazwa kua ilishinda?
Wewe unafurahia kutangazwa na siyo kushinda?
 
Hivi Wana Sacco's wa Cha Domo Alie waroga ni Nani Kuna amsha amsha,shangwe na nyomi Kama la lowasa? Na alishindwa zile Ni vionjo vya kusindikiza ushindi wa mgombea wa CCM na hivi mnavyo viona kwa huyo mgonjwa wa sonona lisu Ni muendelezo wa shamra shamra za ushindi wa CCM?
Lowassa hakushindwa, tofautisha kuibiwa kura na kushindwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumbe kapiga nyomi kwao ngoja magufuli na yeye aende uko uone ndio utaona nguvu ya mzee wetu mpendwa alafu picha mbona hamtumi au mnasubir mu edit pia mkumbuke Kuna watu walideki lami na bado wakapigwa mtungo
Wameleta za 2015 za kampeni. Singida mashariki Haina hiyo idadi ya watu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Uwanja wa siasa Upande wa Chadema wako vizuri mpaka hivi sasa wamekwishajinyakulia point muhimu kuliko vyama vingine vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu.
 
Asije akawekewa pingamizi kuwa alianza kampeni kabla ya wakati..
 
Mwaka 2015 tuliona picha za kila aina zikiwemo za mifereji, mito, ziwa na Bahari yeye mafuriko lakini zote hazikufua dafu kwa CCM. Tujiandae kisaikolijia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Musiba na Le Mutuz wanachokitafuta watakipata soon, wanadhani nchi hii ni mali yao binafsi. Subiri waingie kwenye target zetu Mkuu.
Musiba, Le mutus, Makonda na Muro, hawa wamehuharibia sana Mzee.
 
Mwaka 2015 tuliona picha za kila aina zikiwemo za mifereji, mito, ziwa na Bahari yeye mafuriko lakini zote hazikufua dafu kwa CCM. Tujiandae kisaikolijia.
Mkuu Siri ya ushindi wa Magu 2015,anaijua Lubuva,JK na Magu mwenyewe,unadhani bunge live lilipigwa marufuku kwa bahati mbaya? Unadhani Magufuli kuamua kuwa live kwa kila Jambo hata zile petty issues ilikuwa kwa bahati mbaya? He knows
 
Salaam Wakuu,

Tundu Lissu apokelewa Kijiji cha Unyahati Ikungi Singida Mashariki Kishujaa..

Wanakijiji Wanalia kwa furaha.. Mtoto wao amerudi akiwa hai. Japo kuna watu roho zinawauma kumuona mwanaikungi akipumua

Ni miaka mitatu imepita, tangu alipopigwa risasi 16. Hawaamini Macho yao. Imebidi wamkague makovu ya risasi ili waamini.

Mungu ni mwema.

Kazi imeanza. Watanzania wamekubali na kusema sasa basi.
FB_IMG_1596984919258.jpg
FB_IMG_1596984879507.jpg
FB_IMG_1596984922633.jpg

 
Nimeiona video hadi machozi yamenitoka na utu uzima huu. Namna akina mama walivyomlaki kwa shangwe kubwa huku wengine wakizimia umenipa uchungu sana hasa kwa namna alivyotendewa
 
2017 - angeenda ndani ya futi sita.
2020 - Kaenda amesimama juu ya gari akipungia wanakijiji.
 
Safari ya kumsindikiza mshindi ndio imeanza.
 
Back
Top Bottom