denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Anajimwambafai.Anajimwabafai.
Huko shule ulienda kusomea ujinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajimwambafai.Anajimwabafai.
Jamaa anazijua sheria zetu vizuri snTanzania hii hakuna kama Lissu Mdude na Mbowe,hawa ni Mashujaa wa taifa kama kina Mkwawa na wenzake.
Kwenda (kwa DCI) kufanya nini? Unapoitwa na Polisi mahali popote lazima polisi akuambie anakuitia kosa gani. Ile barua imesema kuna kosa? ……”
That is political mistake Tundu Lisu anafanya.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewasili nchini leo Julai 26, 2023 kutoka Ulaya.
Akihojiwa juu ya kuitikia wito wa DCI Kingai unaomtaka afike ofisini kwa mahojiano, Lissu ametoa kauli inayoashiria kuwa hatakwenda.
“Kwenda (kwa DCI) kufanya nini? Unapoitwa na Polisi mahali popote lazima polisi akuambie anakuitia kosa gani. Ile barua imesema kuna kosa? ……”
Baada ya kutoa kauli hii Lissu aliondoka. Kauli hii inatoa tafsiri kuwa Mwanasheria huyo nguli hatokwenda ofisi ya DCI iliyompa wito wa kufanya naye mahojiano kufuatia matamshi aliyotoa kama alivyonukuliwa akisema kauli za Rais ni matope.
Pia soma: Tundu Lissu: DCI Kingai kaniandikia barua ya wito wa kuripoti ofisini kwake. Nipo nje ya nchi, wiki ijayo narudi kumkabili
Una hakika na unachoongelea?That is political mistake Tundu Lisu anafanya.
Mwanasiasa makini, mzalendo, raia mwema na asie na hatia anaitikia wito bila kusita wala kuhoji content ya wito. Kisha atakataa neno ikiwa halimuhusu na kuwashauri wahusika vinginevyo, basi hivyo hivyo tu.
This will paint him negatively kwamba how come mtu asietii wito wa dola anapewa mamlaka?
Ndio maana unakuta kiongozi wa upinzani anaweza kushinda uchaguzi but akapokwa ushindi wake au kugomewa kupewa mamlaka na vyombo vya dola ikiwa ni pamoja na polisi, Jeshi, Mahakama, TIS n.k kwasababu tu alividharau nyakati mbalimbali huko nyuma. Thus why kwa tz Mbowe anaaminika zaidi na dola kuliko mwanasiasa mwingine wa upinzani Tz. huyu hata akishinda dola inaweza mruhusu kuongoza nchi. Rejea heshma na nidhamu yake kwa dola na mahakama.
Hapa ndiyo umeandika nini sasa??huyu hata akishinda dola inaweza mruhusu kuongoza nchi. Rejea heshma na nidhamu yake kwa dola na mahakama.
Atakauwa mbabe dhidi ya nani??Lisu akiwa rais wa Tanzania, atakua mbabe mara tano ya jiwe. Mtalima kwa meno
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Hakuna mtanzania yeyote mwenye akili timamu ambaye anamdharau Lissu!!lisu kwa mapuza hapana kwa kweli, ndio mana watanzania wanamdharau
Kama ambavyo wewe ukoo wako unavyokudharau?lisu kwa mapuza hapana kwa kweli, ndio mana watanzania wanamdharau
fungueni vichwa chadema kama kweli mnataka kukubalika na jamii, anzeni kuchapa kazi japo kufagia pale ufipa wacheni porojo wakati mama anazindua miradi mkubwa nyie bila haya mnakwenda kupaga kibanda cha ofisi ebu acheni ujinga.Hakuna mtanzania yeyote mwenye akili timamu ambaye anamdharau Lissu!!
chadema ni kiroba cha tumbakuKama ambavyo wewe ukoo wako unavyokudharau?
sawa mkuuHapa ndiyo umeandika nini sasa??
Yaani kwamba watanzania wamchague Lissu kuwa kiongozi wao halafu jeshi likatae? Hujui kwamba jeshi la Tanzania linaitwa ni jeshi la wananchi?
Sasa wenye jeshi wamchague Lissu kuwa Kiongozi wao halafu jeshi likatae? Hilo litakuwa ni jeshi la wananchi tena??
Hii ni kauli ya kiuchochezi kwa jeshi letu kwamba halina nidhamu na ni jeshi litakalopindua serikali ya watanzania itakayopatikana kwa njia halali za kiuchaguzi!!
Una umri gani?chadema ni kiroba cha tumbaku
uungwana ni vitendoLissu ni kichwa level nyingine kwenye sheria..huyo DCI ataumbuka labda kama amesahau history ya huyu bwana ...nikikumbuka alivomwambia magufuli Kuwa ni "dikteta uchwara" na unahiri wake mahakamani wa kuwatoa jasho mawakili wa serikali .....hadi magufuli akaona huyu dawa yake ni moja tu maana nimemshindwa.. ..sasa hii kauli ya juzi aliyotoa atawafurumusha sekunde kwenye mahojiano..