Tundu Lissu apuuza wito wa DCI Kingai, asema hatoenda ofisini kwake

That is political mistake Tundu Lisu anafanya.
Mwanasiasa makini, mzalendo, raia mwema na asie na hatia anaitikia wito bila kusita wala kuhoji content ya wito. Kisha atakataa neno ikiwa halimuhusu na kuwashauri wahusika vinginevyo, basi hivyo hivyo tu.
This will paint him negatively kwamba how come mtu asietii wito wa dola anapewa mamlaka?
Ndio maana unakuta kiongozi wa upinzani anaweza kushinda uchaguzi but akapokwa ushindi wake au kugomewa kupewa mamlaka na vyombo vya dola ikiwa ni pamoja na polisi, Jeshi, Mahakama, TIS n.k kwasababu tu alividharau nyakati mbalimbali huko nyuma. Thus why kwa tz Mbowe anaaminika zaidi na dola kuliko mwanasiasa mwingine wa upinzani Tz. huyu hata akishinda dola inaweza mruhusu kuongoza nchi. Rejea heshma na nidhamu yake kwa dola na mahakama.
 
Lissu ni kichwa level nyingine kwenye sheria..huyo DCI ataumbuka labda kama amesahau history ya huyu bwana ...nikikumbuka alivomwambia magufuli Kuwa ni "dikteta uchwara" na unahiri wake mahakamani wa kuwatoa jasho mawakili wa serikali .....hadi magufuli akaona huyu dawa yake ni moja tu maana nimemshindwa.. ..sasa hii kauli ya juzi aliyotoa atawafurumusha sekunde kwenye mahojiano..
 
Una hakika na unachoongelea?
 
huyu hata akishinda dola inaweza mruhusu kuongoza nchi. Rejea heshma na nidhamu yake kwa dola na mahakama.
Hapa ndiyo umeandika nini sasa??

Yaani kwamba watanzania wamchague Lissu kuwa kiongozi wao halafu jeshi likatae? Hujui kwamba jeshi la Tanzania linaitwa ni jeshi la wananchi?

Sasa wenye jeshi wamchague Lissu kuwa Kiongozi wao halafu jeshi likatae? Hilo litakuwa ni jeshi la wananchi tena??

Hii ni kauli ya kiuchochezi kwa jeshi letu kwamba halina nidhamu na ni jeshi litakalopindua serikali ya watanzania itakayopatikana kwa njia halali za kiuchaguzi!!
 
Hakuna mtanzania yeyote mwenye akili timamu ambaye anamdharau Lissu!!
fungueni vichwa chadema kama kweli mnataka kukubalika na jamii, anzeni kuchapa kazi japo kufagia pale ufipa wacheni porojo wakati mama anazindua miradi mkubwa nyie bila haya mnakwenda kupaga kibanda cha ofisi ebu acheni ujinga.
 
sawa mkuu
 
uungwana ni vitendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…