Tundu Lissu arejea Nchini asema ripoti ya CAG ufisadi ni uleule, mambo ni yaleyale

Tundu Lissu arejea Nchini asema ripoti ya CAG ufisadi ni uleule, mambo ni yaleyale

Muda wa fukut

Mwandishi: Ripoti ya CAG imetoka na majibu ya Rais ni kwamba waliofanya madudu wampishe. Unadhani hiyo ni kauli ya kitendaji au ya kimamlaka?

Lissu: Kwanza wizi na ufisadi ni ule ule wa miaka yote, kama haujaongezeka, ninachosoma ni kwamba umeongezeka. Wizi ni ule ule, wa watu wale wale, wa chama kile kile, mambo yale yale, ahadi zile zile. Kwahiyo kusema ampishe, nani ndie mwajiri mkuu wa nchi hii? Nani anawapa hizo kazi, nani mwenye mamlaka ya kuwaondoa? Ni mambo yale yale!
Sasa tuanze kusikia hoja zenye mashiko
 
Afadhali Mwamba wetu kurejea, ngoja nitafute appointment ya interview.
P
Mkuu Pascal ukifanikiwa Kufanya naye Interview mwambie CHADEMA wakiwa majukwaani licha ya kupigania KATIBA MPYA pia watuelimishe na hii kitu ya CAG
 
Back
Top Bottom