Tundu Lissu arejea Nchini asema ripoti ya CAG ufisadi ni uleule, mambo ni yaleyale

Tundu Lissu arejea Nchini asema ripoti ya CAG ufisadi ni uleule, mambo ni yaleyale

Rukhsa kuita watu majina yoyote. Be happy, barikiwa.
P
Wewe ni Mwanahabari Bora mwenye uelewa mkubwa, Skills na Knowledge zako, unauwezo 100%kufanya interview hata na Akina Donald Trump, V.Putin, Xi Jinping.

In fact Kwa hapa Tanzania, hamna Mwanahabari wa kukuzidi katika suala Zima la uandishi wenye uchambuzi, hoja, Uwezo wa kuhoji na aina ya maswali yako

Nadhani Ukiachilia mbali Elimu yako, pia Exposure imekuongezea uwezo.
 
Ajabu, mtendaji mkuu au bosi wa serikali anawaomba wezi wa mali ya umma wampishe, huu udhaifu ni zaidi ya ule wa enzi za JK.

Hapa ndipo penye kiini cha matatizo yetu, wala tusidanganyane na story za mifumo, na kama huyu dhaifu+ ataendelea kutuongoza mpaka 2030, mbwa mwitu watatutafuna mpaka mifupa.
Mbona yule jasiri aliyezikweia Chato pamoja na ukali wake bado Tsh 1.5 Trillion hazikujulikana zimekwenda wapi?

Mlimuita shujaa, chuma na mtetezi wa wanyonge kumbe ananya'ng'anya fedha kwa plea bargain za kuzificha China
 
Wewe ni Mwanahabari Bora mwenye uelewa mkubwa, Skills na Knowledge zako,
Asante
unauwezo 100%kufanya interview hata na Akina Donald Trump, V.Putin, Xi Jinping.
Mwandishi yeyote wa habari ana uwezo kufanya mahojioano na mtu yoyote!.
In fact Kwa hapa Tanzania, hamna Mwanahabari wa kukuzidi katika suala Zima la uandishi wenye uchambuzi, hoja, Uwezo wa kuhoji na aina ya maswali yako
Sii kweli, kuna waandishi kibao ni wazuri kuliko mimi ila unaweza usiwajue.
Nadhani Ukiachilia mbali Elimu yako, pia Exposure imekuongezea uwezo.
asante, naomba usinivibishe bichwa nikaishia kupasuka!, mimi ni wa kawaida sana ila kwasababu hatuna the very best, sisi waandishi wa habari wa kawaida tuu ndio tunaonekana kama ni wazuri.
P
 
Kuna Inteview niliona Lema alifanya kipindi kinaitwa ''The big agenda'' cha Mwananchi.
The Big Agenda ni kipindi cha Star TV sio cha Mwananchi.
Nilisikitika sana. Bwana Mayalla hivi jamaa kama huyu aliyekuwa anamhoji na yeye yuko kwenye kundi la waandishi wa habari?
Yes huyo ni Mtozi Aloyce Nyanda, he is one of the we have.
Kwanza mwandishi mwenyewe anaonekana kama chinga aliyeokotwa Kidongochekundu au mpiga debe fulani hivi. Maswali anayouliza nayo hovyo kweli kweli.

No I'd like to differ, Nyanda ni mzuri.
P
 
Afadhali Mwamba wetu kurejea, ngoja nitafute appointment ya interview.
P
Tutaisubiri kwa hamu kubwa hiyo interview ya mwamba kutoka kwa very senior journalist...Kila nikikumbuka lile swali lako konki kwa the late JPM kwamba '' Mheshimiwa rais wewe umeapa kuilinda katiba na sasa umezuia mikutano ya kisiasa nani amekupa mamlaka hayooo???'' Hahaaaaaaa Daaah....ngoja nitafute ile clip kwanza nijikumbushe hahaaaaa....
 
Kuna Inteview niliona Lema alifanya kipindi kinaitwa ''The big agenda'' cha Mwananchi. Nilisikitika sana. Bwana Mayalla hivi jamaa kama huyu aliyekuwa anamhoji na yeye yuko kwenye kundi la waandishi wa habari? Kwanza mwandishi mwenyewe anaonekana kama chinga aliyeokotwa Kidongochekundu au mpiga debe fulani hivi. Maswali anayouliza nayo hovyo kweli kweli.

Duuh ''The big agenda'' ni cha Mwananchi tokea lini??
 
FB_IMG_1680691098458.jpg
 
Kinyonga. Katika rangi zako...
Huyo mtu...,
Ni vigumu sana kupata neno sahihi la kumwelezea.

Kuna neno la kibeberu la 'bogus', lakini nalo halimwelezei kisahihi.

Nilimpa sifa ya 'upopo' mwanzo kabisa, lakini nayo haimkai vizuri.
Watu wenye tabia za aina ya huyu ni watu hatari kabisa. Ukiwa karibu naye huwezi kuwa na amani moyoni.
 
Back
Top Bottom