Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
View attachment 3179579
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu
Kichwa mtu akiwa ndani ya gari ni ngumu Sana kumuua hapo anajilinda akiwa ndani ya gari zaidi naisiVp kichwa, kina bullet proof?!!!
Msikuze mambo , sikiliza maneno ya lissu akiwa cloud TV, alisema nini na kama ndivyo kuna shida gani yeye kuvaa bullet proofView attachment 3179579
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Mbona hajafunika kichwaView attachment 3179579
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Amepanda boda boda hivyo ni vazi la kawaida tu.Kama ni masasi yalishindwa wakati ule akiwa kwenye ile ndinga lake lililochakazwa,au wewe umekuwa ukitazama kila afanyalo?View attachment 3179579
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Uko vizuri unaona mbaliShida watu wanadhani Lissu yupo peke yake ndio ujinga wa wapambe
Ccm na tiss yao wamechanganyikiwa kuliko Hata chawa wa mboweView attachment 3179579
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Ni upumbavu wake tu!Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Hapa tunapata ujumbe wa zile risasi 32 alizopigwa huko Dodoma.View attachment 3179579
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Hukumbuki alipigwa risasi? Kuna ubaya gani mtu alieumwa na nyoka kushtuka ujani umgusapoView attachment 3179579
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Polisiccm hawajamuhakikishia usalama wake.View attachment 3179579
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Kina bashe wasomali leo wapo mjengoni kisa tu wapo mboga mboga. Ulisemalo n jambo nyeti sana kwa maslahi ya nchi yetu pendwa tanganyikaGenge la raia feki aliwataki watu kama lissu au mtikila ...kumbuka rostam alifanyanini kwa mtikila. Serikali ya tanzania ipo nikononi mwa raia feki kutokana na nchi kukosa sera za kizalendo ...unampaje mtu uraia kisha anakuwa raia kwa asilimia 100% mfano wakimbizi wa somalia walipewa uraia tayari wanaweza kuingia kwenye siasa na systems za taifa ....nilisha sema sana Tanzania tunatakiwa kuwa na AINA ZISIZO PUNGUA 3 ZA URAIA LA SIVYO TAIFA LITAZIDI KUINGIA MIKONONI MWA WAHALIFU WAKUBWA DUNIANI..MTANZANIA MWENYE URAIA DARAJA LA KWANZA NDIYO ARUHUSIWE KUWA MWANASIASA NA KUWA KIONGOZI WA KISERIKALI KATIKA NGAZI ZA JUU..watanzania wa daraja ya chini wasiruhusiwe hata kupiga kura wala kuwa viongozi wala wanasiasa nk