Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Mashine ipo taya
Maana yake yuko tayari kwa lolote
Mbowe na drama zake tumeisha mjua vyema. Akienda huku tunaye tunaye.
View attachment 3179579
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu
Maana yake yuko tayari kwa lolote
Mbowe na drama zake tumeisha mjua vyema. Akienda huku tunaye tunaye.