Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?

Mashine ipo taya
View attachment 3179579

Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.

Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.

Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu

Maana yake yuko tayari kwa lolote
Mbowe na drama zake tumeisha mjua vyema. Akienda huku tunaye tunaye.
 
View attachment 3179579

Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.

Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.

Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Msikuze mambo , sikiliza maneno ya lissu akiwa cloud TV, alisema nini na kama ndivyo kuna shida gani yeye kuvaa bullet proof
 
Kwa sasa ndiye mwanasiasa ghali sana, ndiye anayevuma zaidi. Mshindo wake ni mkuu, ni kitisho kwa vyama vyote, anzia hapo chadema mpaka ccm, ndiyo habari kuu kipindi hiki
 
Lissu ni jemedari mkuu, huyu kwa kweli ndiye anayefaa kuwa Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama. Ni mwanasiasa Nguli kuwahi kutokea Tanzania tangu Nyerere aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania
 
View attachment 3179579

Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.

Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.

Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Mbona hajafunika kichwa
 
Amepanda boda boda hivyo ni vazi la kawaida tu.Kama ni masasi yalishindwa wakati ule akiwa kwenye ile ndinga lake lililochakazwa,au wewe umekuwa ukitazama kila afanyalo?
 
View attachment 3179579

Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.

Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.

Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Ccm na tiss yao wamechanganyikiwa kuliko Hata chawa wa mbowe

Sikukuu za mwaka huu ni chungu kwa mama Abdul na genge lake
 
Sidhani kama hiyo bullet proof inaweza kumsaidia kama sehemu nyingine ziko wazi!
Nadhani hapo anatuma ujumbe fulani kwa mahasimu wake!
 
View attachment 3179579

Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.

Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.

Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
Hukumbuki alipigwa risasi? Kuna ubaya gani mtu alieumwa na nyoka kushtuka ujani umgusapo
 
Genge la raia feki aliwataki watu kama lissu au mtikila ...kumbuka rostam alifanyanini kwa mtikila. Serikali ya tanzania ipo nikononi mwa raia feki kutokana na nchi kukosa sera za kizalendo ...unampaje mtu uraia kisha anakuwa raia kwa asilimia 100% mfano wakimbizi wa somalia walipewa uraia tayari wanaweza kuingia kwenye siasa na systems za taifa ....nilisha sema sana Tanzania tunatakiwa kuwa na AINA ZISIZO PUNGUA 3 ZA URAIA LA SIVYO TAIFA LITAZIDI KUINGIA MIKONONI MWA WAHALIFU WAKUBWA DUNIANI..MTANZANIA MWENYE URAIA DARAJA LA KWANZA NDIYO ARUHUSIWE KUWA MWANASIASA NA KUWA KIONGOZI WA KISERIKALI KATIKA NGAZI ZA JUU..watanzania wa daraja ya chini wasiruhusiwe hata kupiga kura wala kuwa viongozi wala wanasiasa nk
Kina bashe wasomali leo wapo mjengoni kisa tu wapo mboga mboga. Ulisemalo n jambo nyeti sana kwa maslahi ya nchi yetu pendwa tanganyika
 
Anatuma ujumbe mkubwa, kutumia gari lenye matobo ya risasi na bullet proof vest.
 
Back
Top Bottom