Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Tutajie sifa za wapinzani makini ?....
 
Hivi nyie machawa mna matatizo ya akili?
 
Acha upotoshaji, Uwepo wa jiwe ulimfanya Lissu awe hatarini kuuawa.

Kutokuwepo kwa jiwe ndio kumemrudisha Lissu Tz.
Huna akili ww.
Narudia uwepo wa Jiwe ulimfanya Lissu a trend.
Kutokuwepo kwa jiwe kumefanya Lissu amedrop.
Kitu kidogo kama hiki unashindwaje kuelewa ww akili fupi!??
 
Kaka hiki ulichokiona ndio kimetoka jikoni ndio kipya ndio ujio mpya

Kinachofuata now ni wenyewe Kwa wenyewe kugombana
 
Alionywa toka mwanzo asije kwa gia ya kumponda magufuli. Matokeo yake kajichimbia kaburi. Asahau tu habari ya siasa.
Mbona tunaompoda hilo jambazi lenu katili tupo wengi na bado tutaliponda mpaka ukamilifu wa dahari
 
Huna akili ww.
Narudia uwepo wa Jiwe ulimfanya Lissu a trend.
Kutokuwepo kwa jiwe kumefanya Lissu amedrop.
Kitu kidogo kama hiki unashindwaje kuelewa ww akili fupi!??
Uwepo wa jiwe ilikuwa tishio kwa maisha ya Lissu.
 
Umeeleza vizuri ila unamwelewesha chizi
 
Ningewafahamu nisingeuliza.
Moja ya sifa kubwa za mwanasiasa makini ni kupima upepo wa kisiasa na kuwa mwangalifu na kauli zake.

Baada ya hapo zipo sifa nyingi mno ambazo bado wanasiasa wa upinzani wa Tanzania hawana.

Ndo maana mara nyingi hata kama wana hoja lakini ni mtindo wanotumia kuwasilisha hoja hizo ndo huwatia matatani.

Kwa mfano, wafuatilia siasa za Kenya ambao ni majirani zetu?

Wasikilize wanasiasa wa upinzani wakiwa majukwaani husema nini.

Kuna mengi ya kujifunza pale.
 
Twende polepole wajameni, mbona hii picha ni ya zamani? Mr Lissu aliapa yuko tayari kufariki kwa niaba ya Watanzania. Akaenda kwao kavua chupi awaonyeshe makovu yake sasa iweje arudi tena? Isitoshe, iweje aende Ubelgiji wakati Muhimbili Mlonganzila wana tawi la surgery la kimataifa? Urongo wa maccm?

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Nasikia wewe ndiyo uliyepewa jukumu la kubeba ile AK 47 lkn ulikuwa umelewa sana ng"ada hivyo ukachemka.
 
Sera za makovu ya risasi vs sera za mbolea, miradi, elimu, afya na n.k kurudi lilikuwa jambo la muda tu

USSR
Nasikia siku hizi unaishia pale kyagata tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…