Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.

Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.

Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.

=====

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki mbili kuendelea na majukumu yake hapa.
Mkuu.unaonekana hujawai panda ndege, Wivu mpaka kumuchima!! Yaani Lissu kupanda ndege iwe habari ya kuuileta humu kwa jicho la husda? Jf nacho ni kichaka!
 
-ni kweli mikutano ya kisiasa kufanyika 2020 ilikuwa haiwezekani, asingeweza kufanya mikutano kuwashukuru Wananchi Kwa sababu angekutana na mkono wa Chuma wa jeshi la police
-kuhusu Tundu Lissu kutokusema chochote huo ni Uongo, Kwa sababu Mara baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 kutangazwa Tundu Lissu, na Salim Mwalim Walifanya Mkutano na Waandishi wa Habari Ili kueleza kupinga na kutodhirishwa na matokeo ya huo uchaguzi, Mkutano ulifanyika makao makuu ya Chadema ilirushwa Live, na ipo You tube na kwenye huo mkutano Zitto Kabwe pia alikuwepo
-Tundu Lissu angekuwa Hana sympathy na wananchi angepinga tozo na Kodi zinazoleta ugumu wa Maisha?
  • Kuhusu besigye na wenzake, ngoja niuulize swali Dr Besigye alipigwa risasi 16 na askari wa museveni?, Pain and suffering aliyoipata Lissu ni kubwa Sana na hakuna mwanasiasa aliyewahi kuipata ndani ya 21 century within Eac hapa, nitajie Dr kiiza Besigye alipigwa risasi ngapi?
  • Usimpangie Kazi ya kufanya Lissu, uwakili atafanya na Siasa anafanya kama hutaki juu Yako.
Kupigwa risasi na kuwekewa sumu kwenye chakula au kutegeshwa sumu kwenye microphone ni sawa tu lengo ni kuuliwa,

Tunasema viongozi waliokuwa jasiri hawakujali hayo walibaki katika nchi, ivi ni nani vijiji vilivyoko Tanzania atafuatilia mkutano na waandishi wa habari wawili watatu halafu liwe ni neno kusikilizwa na watanzania wote mbona alipotaka kura alitembea Nchi nzima na hakujali chochote hata Tume ilipomzuia katikati ya kampeni alisema ataendelea.

Tundu Lissu ni poor leader abaki kuwa wakili au abaki huko ulaya ambako sasa ameshapata uraia na benefits ambazo hawezi hata dakika moja kuzikosa na anasingizia kurudi kwa madaktari in 2 weeks alizokuja.

Na sasa hata hao waliotoka Canada na wawo watarudi zao wameshapata namna ya maisha hawataweza tena kufanya siasa ndipo chadema ilipofikia.
 
Usipende kuzimisha ndoto za watu kama wewe huna akili ni wewe na siyo watu wenye maono.
 
Silipendi mpaka nahasira
 
- Kupigwa risasi, maumivu yake unayajua? Lissu alizinduka baada ya siku kadhaa za kupigwa risasi Yale maumivu hayaelezeki hata kidogo.
-twende taratibu mwanzoni ulisema hakutoa statement ambayo hata haikurekodiwa YouTube, nimekupa mfano Sasa unahamisha Hoja na kuanza kusema huo mkutano na Waandishi wa Habari haukuwafikia Wananchi huko vijijini, umekubali kuwa Lissu alitoa statement? Baada ya kukupa ushahidi unabaili
  • Unatakiwa uelewe alipotaka Kura kulikuwa na ruhusa ya mikutano ya kisiasa, Mara baada ya Uchaguzi katazo Hilo haramu la mikutano ya kisiasa liliendelea, Sasa angefanyaje Mkutano wa kuwashukuru Wananchi?
  • Kingine kuhusu uchaguzi Mkuu ule uchaguzi ulikuwa unafuatailiwa na Waangalizi wa kimataifa ndio maana Lissu aliweza kufanya mikutano, pia Huwezi kuzuia Watu wasifanye kampeni Kwa sababu ni kuvunja sheria ya Uchaguzi ya 1985, Kwa sababu Uchaguzi unaendaga na kampeni umeelewa?
  • Lissu alifanya kosa gani Hadi Tume ikamzuia asifanye kampeni?
  • Lissu sio poor leader ni Great leader anayepingana na makodi yanayoleta Hali ngumu ya Maisha na umasikini Kwa Watanzania
 
Kaja na sera za kumchafua JPM kaishia kuchafuka yeye😂🤭

Na aliewaruhusu kufanya mikutano ndo kawakomesha kweli maana ni kama vile tamko lilikuja ghafla hawakujipanga. Maana wamepewa uhuru nilidhani watafukia mashimo ya mapengo yao kwenye chama kumbe mtu kaja kudai mafao😂
 
Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.

Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.

Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.

=====

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki mbili kuendelea na majukumu yake hapa.
Wilaya yako ina changamoto nyingi mno.

Achana na mambo ya Lissu, fanya kazi uliyotumwa na mamlaka ya uteuzi.
 
Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.

Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.

Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.

=====

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki mbili kuendelea na majukumu yake hapa.
Tunavyozidi kumtaja na kumuongelea ndio tunampaisha zaidi! Bora tupige kimya tuu!
 
Mnadhani na sisi tuna akili ndogo na uelewa mdogo kama ninyi? Hatuishi kwa kutetea mtu. Tunaishi kwa kuutetea ukweli.

Watu wajinga, waliopungukiwa maarifa ndiyo huwa wanaishi kwa uzushi, hadaa, na hoja za kijinga kama mleta mada.

Sisi wengine, huwezi kumaliza zaidi ya miezi miwili kusafiri nje ya Tanzania. Ina maana sisi sote huwa tunaondoka kwa sababu tumeshindwa siasa?

Na hizi ndege zote zinazotua nchini mwetu huwa zinaondoka na walioshindwa siasa, na zinaleta walioshindwa siasa kwenye nchi nyingine?

Ujinga ni mzigo mzito sana. Wajinga mna taabu sana.
Unapata tabu sana kumtetea Lisu
 
- Kupigwa risasi, maumivu yake unayajua? Lissu alizinduka baada ya siku kadhaa za kupigwa risasi Yale maumivu hayaelezeki hata kidogo.
-twende taratibu mwanzoni ulisema hakutoa statement ambayo hata haikurekodiwa YouTube, nimekupa mfano Sasa unahamisha Hoja na kuanza kusema huo mkutano na Waandishi wa Habari haukuwafikia Wananchi huko vijijini, umekubali kuwa Lissu alitoa statement? Baada ya kukupa ushahidi unabaili
  • Unatakiwa uelewe alipotaka Kura kulikuwa na ruhusa ya mikutano ya kisiasa, Mara baada ya Uchaguzi katazo Hilo haramu la mikutano ya kisiasa liliendelea, Sasa angefanyaje Mkutano wa kuwashukuru Wananchi?
  • Kingine kuhusu uchaguzi Mkuu ule uchaguzi ulikuwa unafuatailiwa na Waangalizi wa kimataifa ndio maana Lissu aliweza kufanya mikutano, pia Huwezi kuzuia Watu wasifanye kampeni Kwa sababu ni kuvunja sheria ya Uchaguzi ya 1985, Kwa sababu Uchaguzi unaendaga na kampeni umeelewa?
  • Lissu alifanya kosa gani Hadi Tume ikamzuia asifanye kampeni?
  • Lissu sio poor leader ni Great leader anayepingana na makodi yanayoleta Hali ngumu ya Maisha na umasikini Kwa Watanzania
Tunakubali Tundu Lissu alishambuliwa kwa risasi na ni tukio baya kuwahi kutokea lakini baada ya matibabu Tundu amekuwa coward na kwa siasa za Tanzania angekaa tu pembeni na kutangaza kustaafu siasa kwasababu mfumo anaojaribu kutaka kuwapeleka watanzania hautaleta impact yoyote.

Mikutano ya kisiasa kweli ilifungwa Tanzania nzima lakini bado viongozi hawakuzuiwa kuonana na wananchi hata kwenye matawi yao na majimbo Lissu kama alienda kwenye vyombo vya habari siku moja na yapili akaondoka tunasema hakujali wananchi waliompigia kura. Lakini baya zaidi Lissu alikosa ushawishi alipoitisha maandamano hakuna aliyetoka hata yeye binafsi tofauti na kule Zanzibar japo viongozi walipigwa lakini walionyesha namna ya kuwa kiongozi

Lissu ame-apply maisha ya ulaya na hawezi tena hata dakika 2 bila kuwa belgium, anaumizwa na yanayotokea tanzania kama hizo kodi lakini ni kwa bahati mbaya sana hawezi tena kuwatetea watanzania kwa vile binafsi hawezi kuishi Tanzania.
 
Usipende kuzimisha ndoto za watu kama wewe huna akili ni wewe na siyo watu wenye maono.
Usiandikie mate utaja kuliona anguko la chadema, mbowe amezimika na katiba yake mpya mpaka leo hakuja tena juu na Mnyika Katibu Mkuu wa Chadema nimekuja kumuona juzi walifanya mkutano lakini hana hamasa yoyote kwenye chama, chadema imepwaya sana hamana kitu biashara imeshafanyika, wajipange kivingine
 
Kwali alikuja kufanya nn? Si alisema amekuja kuwapigania watu. Vipi mapigano yameshindikana?
usilolijua ni kama vile mumeo anapotafuna mizigo ya nnje afu wewe hujui.....
hili la LISSU hebu liache tu dadangu utaumia mapafu afu mumeo akose pa kupumulia
 
Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.

Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.

Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.

=====

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki mbili kuendelea na majukumu yake hapa.
Visa ya wapi imeisha
 
Kupigwa risasi na kuwekewa sumu kwenye chakula au kutegeshwa sumu kwenye microphone ni sawa tu lengo ni kuuliwa,

Tunasema viongozi waliokuwa jasiri hawakujali hayo walibaki katika nchi, ivi ni nani vijiji vilivyoko Tanzania atafuatilia mkutano na waandishi wa habari wawili watatu halafu liwe ni neno kusikilizwa na watanzania wote mbona alipotaka kura alitembea Nchi nzima na hakujali chochote hata Tume ilipomzuia katikati ya kampeni alisema ataendelea.

Tundu Lissu ni poor leader abaki kuwa wakili au abaki huko ulaya ambako sasa ameshapata uraia na benefits ambazo hawezi hata dakika moja kuzikosa na anasingizia kurudi kwa madaktari in 2 weeks alizokuja.

Na sasa hata hao waliotoka Canada na wawo watarudi zao wameshapata namna ya maisha hawataweza tena kufanya siasa ndipo chadema ilipofikia.
Hakuna chakumuona dactari wala nini huyo Lisu anaondoka kwa aibu tu baada ya kuona watu wanampuuza.

Kama niishu ya dactari siangesubiri hiyowikimoja alafu ndio aje jumla, anazingua tu amemkumbuka beberu.
 
Tunakubali Tundu Lissu alishambuliwa kwa risasi na ni tukio baya kuwahi kutokea lakini baada ya matibabu Tundu amekuwa coward na kwa siasa za Tanzania angekaa tu pembeni na kutangaza kustaafu siasa kwasababu mfumo anaojaribu kutaka kuwapeleka watanzania hautaleta impact yoyote.

Mikutano ya kisiasa kweli ilifungwa Tanzania nzima lakini bado viongozi hawakuzuiwa kuonana na wananchi hata kwenye matawi yao na majimbo Lissu kama alienda kwenye vyombo vya habari siku moja na yapili akaondoka tunasema hakujali wananchi waliompigia kura. Lakini baya zaidi Lissu alikosa ushawishi alipoitisha maandamano hakuna aliyetoka hata yeye binafsi tofauti na kule Zanzibar japo viongozi walipigwa lakini walionyesha namna ya kuwa kiongozi

Lissu ame-apply maisha ya ulaya na hawezi tena hata dakika 2 bila kuwa belgium, anaumizwa na yanayotokea tanzania kama hizo kodi lakini ni kwa bahati mbaya Wakati unasema kuwa Lissu angeonana na wananchi kwenye matawi Ndio kipindi hicho hicho sana hawezi tena kuwatetea watanzania kwa vile binafsi hawezi kuishi Tanzania.
- Tundu Lissu hajawahi kuwa coward, hata baada ya kupigwa Risasi, kama angekuwa Muoga angerudi Tanzania kufanya kampeni? Mtu kapigwa risasi 16 anaenda kutibiwa nchi za nje halafu anarudi tena Tanzania kufanya kampeni bado unamuita Muoga? pain and suffering za Kupigwa risasi halafu bado unarudi tena, ungekuwa wewe ungerudi Tanzania? Kama angekuwa Muoga Lissu angeomba Humanitarian Permit huko Belgium,au Uraia awe raia wa Belgium
-kuhusu Lissu kuonana na wananchi kwenye matawi Hilo lililkuwa hakiwezekani kabisa, Kwa sababu katika kipindi hicho hicho ndio kulikuwa na tishio la yeye kumalizwa, yeye angefanyaje? na Kila alipojificha aliambiwa akimbie, ndipo akaenda ubalozi wa Ujerumani kupata hifadhi.
  • kipindi hicho hicho Cha baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020, Kamanda Mambosasasa alisema wapinzani walikuwa na mpango wa kufanya ugaidi, na hivyo Kuzuia Kila mikutano ya wapinzani, Kwa kisingizio Cha Ugaidi,
  • Issue sio kukosa ushawishi kwenye maandamano, ni issue ni kwamba Utawala uliokuwepo ulikuwa ni mkono wa Chuma, Mbona kipindi Cha Awamu ya Nne wapinzani walikuwa wanaandamana?
  • hawezi kuwatetea Wananchi, Kwa sababu amesafiri? Au hujamfuatilia Lissu mikutano yake ambapo alisema Bei ya bidhaa na huduma zimepanda kutokana na Kodi za Rais, ambayo inatokana na Rais kuwa muanzisha Kodi Mkuu wa nchi hii.
-
 
Back
Top Bottom