-ni kweli mikutano ya kisiasa kufanyika 2020 ilikuwa haiwezekani, asingeweza kufanya mikutano kuwashukuru Wananchi Kwa sababu angekutana na mkono wa Chuma wa jeshi la police
-kuhusu Tundu Lissu kutokusema chochote huo ni Uongo, Kwa sababu Mara baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 kutangazwa Tundu Lissu, na Salim Mwalim Walifanya Mkutano na Waandishi wa Habari Ili kueleza kupinga na kutodhirishwa na matokeo ya huo uchaguzi, Mkutano ulifanyika makao makuu ya Chadema ilirushwa Live, na ipo You tube na kwenye huo mkutano Zitto Kabwe pia alikuwepo
-Tundu Lissu angekuwa Hana sympathy na wananchi angepinga tozo na Kodi zinazoleta ugumu wa Maisha?
- Kuhusu besigye na wenzake, ngoja niuulize swali Dr Besigye alipigwa risasi 16 na askari wa museveni?, Pain and suffering aliyoipata Lissu ni kubwa Sana na hakuna mwanasiasa aliyewahi kuipata ndani ya 21 century within Eac hapa, nitajie Dr kiiza Besigye alipigwa risasi ngapi?
- Usimpangie Kazi ya kufanya Lissu, uwakili atafanya na Siasa anafanya kama hutaki juu Yako.