Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Sasa km anaenda kumwona daktari wake shida iko wapi. Watanzania wengine mna roho za kichawi
Mkuu mleta mada ni kati ya walishindwa kutimiza ahadi yakumuondolea haki yake ya kuishi mh Lissu
 
Takataka
 
Alionywa toka mwanzo asije kwa gia ya kumponda magufuli. Matokeo yake kajichimbia kaburi. Asahau tu habari ya siasa.
Jiwe alilisababishia taifa hasara nyingi sana
 
Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.

Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
 
Lissu amekwenda wapi?
 
Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.

Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Hii mijadala ya lizu inamkuza wakati si lolote

USSR
 
Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.

Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
baada ya,wiki mbili atakuwepo.

halafu sioni mantiki hapa.
sasa lisu na lema waliondoka pamoja nchini?
walikua nchi moja.
kwanini lema hakuja siku lisu anakuja.

mfurahishe mumeo akufundishe akili ujue unaandika nini
 
Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.

Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Sio kila kitu ni siasa ! Yaani Lissu aache kwenda kumuona Dr wake kwasababu ya kumpokea Lema Je tunajua anatatizo gani kiafya au tunataka usahabiki wetu. Tatizo watu wengi hatujali maisha ya hawa wanasiasa tunapenda ndama zao tu kama movies. Mtu unaye mjali kama ndugu usingeweza kusema hivi
 
Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.

Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Gari lake mmemrudishia nyie wasiojulikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…