Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Povu linakutoka wewe kwenye masaburiHahahahaha CHADEMA wanatokwa mapovu balaa.
Lissu hamna kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Povu linakutoka wewe kwenye masaburiHahahahaha CHADEMA wanatokwa mapovu balaa.
Lissu hamna kitu.
Hakuna mwana ccm asiyemuogopa LissuKwani uchaguzi unaanza kesho
Mkuu mleta mada ni kati ya walishindwa kutimiza ahadi yakumuondolea haki yake ya kuishi mh LissuSasa km anaenda kumwona daktari wake shida iko wapi. Watanzania wengine mna roho za kichawi
TakatakaWaswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.
Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.
Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.
=====
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki mbili kuendelea na majukumu yake hapa.
Unawashwa na nini?Kwani toka aje si hata mwezi hajafikisha?
Jiwe alilisababishia taifa hasara nyingi sanaAlionywa toka mwanzo asije kwa gia ya kumponda magufuli. Matokeo yake kajichimbia kaburi. Asahau tu habari ya siasa.
Pumbaf kijakazi wa JiweLisu kuna kitu kimoja alipaswa kufahamu. Uwepo wa Jiwe ulimfanya atrend awe juu sana. Kutokuwepo kwa jiwe graph yake imeshuka sana. Anazidi kupotea
Lissu amekwenda wapi?Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.
Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
KWANI LEMA ALIKUJA KUMPOKEA TUNDU LISSU ALIPOKUJA?Wakati mwingine Tumia Akili hata za kuazimaTundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.
Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Hii mijadala ya lizu inamkuza wakati si loloteTundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.
Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
baada ya,wiki mbili atakuwepo.Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.
Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Sio kila kitu ni siasa ! Yaani Lissu aache kwenda kumuona Dr wake kwasababu ya kumpokea Lema Je tunajua anatatizo gani kiafya au tunataka usahabiki wetu. Tatizo watu wengi hatujali maisha ya hawa wanasiasa tunapenda ndama zao tu kama movies. Mtu unaye mjali kama ndugu usingeweza kusema hiviTundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.
Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Gari lake mmemrudishia nyie wasiojulikana?Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.
Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane