It is none of anyone's business! Wewe nani kakuuliza kwanini una mke? au kwanini uko CCM? Wote hata Mtemi wa nchi hii ana passport ya one of the Developed countriesTundu Lisu amesema ameenda Ubelgiji kwa mambo mawili
1. Kuhuisha Visa yake kwa sababu ilibakiza siku chache kuexpire...
One of the developed countries!It is none of anyone's business! Wewe nani kakuuliza kwanini una mke? au kwanini uko CCM? Wote hata Mtemi wa nchi hii ana passport ya one of the Developed countries
😁Bwashee subiri akirudi umuulize hilo swali lako.
Tatua matatizo yako na mumeo ya lissu niachie mwenyeweTundu Lissu amesema ameenda Ubelgiji kwa mambo mawili.
1. Kuhuisha VISA yake kwa sababu ilibakiza siku chache kuexpire
2. Kuangalia afya yake
Swai langu ni kwanini Tundu Lissu anahuisha VISA yake sasa?
Mungu ni Mwema wakati Wote!
Unaijua hata Visa manka?!!!Tatua matatizo yako na mumeo ya lissu niachie mwenyewe
Tundu Lissu amesema ameenda Ubelgiji kwa mambo mawili.
1. Kuhuisha VISA yake kwa sababu ilibakiza siku chache kuexpire
2. Kuangalia afya yake
Swai langu ni kwanini Tundu Lissu anahuisha VISA yake sasa?
Mungu ni Mwema wakati Wote!
Punguza kujihusisha na mambo binafsi ya wengine JoTundu Lissu amesema ameenda Ubelgiji kwa mambo mawili.
1. Kuhuisha VISA yake kwa sababu ilibakiza siku chache kuexpire
2. Kuangalia afya yake
Swai langu ni kwanini Tundu Lissu anahuisha VISA yake sasa?
Mungu ni Mwema wakati Wote!
CCM ipi hiyo ya kuchanganyikiwa kwa kurudi kwa mtu iliyomuweka ndani kwa kadri ilivyoona inafaa, ikamgaragaza kwny uchaguzi 2020 na hatimae akakimbia nchi …nadhani ni utani wa kisiasaUjio wa Lema sisiemu Arusha wamechanganyikiwa.....ni Mtafaruku
Chadema Kimataifa zaidi ...beyond the boundaries Bwashee...
Tundu Lisu ni Mgombea uRais ni lazima tumsome sawasawa!Punguza kujihusisha na mambo binafsi ya wengine Jo
Ku renewKuhuisha ni kufanyaje
Asante kiongoziKu renew
Anarejea J'pili trh 19.Makamu mwenyekiti wa CHADEMA,Tundu Antipas Lissu ameondoka nchini kuelekea Ubelgiji kucheck afya yake na kuhuisha VISA yake inayokaribia kwisha muda wake
Tundu Lissu atarejea nchini baada ya Wiki mbili
Yupo ulaya Mkuu.Ningependa kufahamishwa na viongozi au wafuasi wa Chadema walio humu kuhusu Tundu Antiphas Mughwai Lissu katika haya maswali machache.
1. Tundu Lissu kwa sasa yu wapi ?
2. Ondoka yake hapa nchini sababu ni nini ?
3. Ni lini atarejea nchini ?
4. Statement ya Chama cha chadema kuhusu kuondoka na kurejea kwa Tundu Lissu ipo wapi ?
Karibuni.
Anhaa sawa. swali 2,3 na 4 majibu yake tafadhari.Ubelgiji
Ulaya kubwa mkuu, ulaya nchi gani ? Pia naomba nisaidie maelezo kwa maswali 2,3 na 4.Yupo ulaya Mkuu.