Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Tundu Lisu amesema ameenda Ubelgiji kwa mambo mawili
1. Kuhuisha Visa yake kwa sababu ilibakiza siku chache kuexpire...
It is none of anyone's business! Wewe nani kakuuliza kwanini una mke? au kwanini uko CCM? Wote hata Mtemi wa nchi hii ana passport ya one of the Developed countries
 
Tundu Lissu amesema ameenda Ubelgiji kwa mambo mawili.

1. Kuhuisha VISA yake kwa sababu ilibakiza siku chache kuexpire

2. Kuangalia afya yake

Swai langu ni kwanini Tundu Lissu anahuisha VISA yake sasa?

Mungu ni Mwema wakati Wote!
Tatua matatizo yako na mumeo ya lissu niachie mwenyewe
 
Tundu Lissu amesema ameenda Ubelgiji kwa mambo mawili.

1. Kuhuisha VISA yake kwa sababu ilibakiza siku chache kuexpire

2. Kuangalia afya yake

Swai langu ni kwanini Tundu Lissu anahuisha VISA yake sasa?

Mungu ni Mwema wakati Wote!

Maana yake ni kwamba atahitaji kwenda huko Ubeligiji kwa mara nyingine tena siku za usoni...
 
Tundu Lissu amesema ameenda Ubelgiji kwa mambo mawili.

1. Kuhuisha VISA yake kwa sababu ilibakiza siku chache kuexpire

2. Kuangalia afya yake

Swai langu ni kwanini Tundu Lissu anahuisha VISA yake sasa?

Mungu ni Mwema wakati Wote!
Punguza kujihusisha na mambo binafsi ya wengine Jo
 
Ujio wa Lema sisiemu Arusha wamechanganyikiwa.....ni Mtafaruku

Chadema Kimataifa zaidi ...beyond the boundaries Bwashee...
CCM ipi hiyo ya kuchanganyikiwa kwa kurudi kwa mtu iliyomuweka ndani kwa kadri ilivyoona inafaa, ikamgaragaza kwny uchaguzi 2020 na hatimae akakimbia nchi …nadhani ni utani wa kisiasa
 
Ningependa kufahamishwa na viongozi au wafuasi wa Chadema walio humu kuhusu Tundu Antiphas Mughwai Lissu katika haya maswali machache.

1. Tundu Lissu kwa sasa yu wapi ?

2. Ondoka yake hapa nchini sababu ni nini ?

3. Ni lini atarejea nchini ?

4. Statement ya Chama cha chadema kuhusu kuondoka na kurejea kwa Tundu Lissu ipo wapi ?

Karibuni.
 
Yupo ulaya Mkuu.
 
Back
Top Bottom