It is none of anyone's business! Wewe nani kakuuliza kwanini una mke? au kwanini uko CCM? Wote hata Mtemi wa nchi hii ana passport ya one of the Developed countriesTundu Lisu amesema ameenda Ubelgiji kwa mambo mawili
1. Kuhuisha Visa yake kwa sababu ilibakiza siku chache kuexpire...