Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Ana hoja umuhitaji?
Anasubiri mwezi uishe. Yawezekana anaogopa hata kuona picha za Hayati
 
Ulaya kubwa mkuu, ulaya nchi gani ? Pia naomba nisaidie maelezo kwa maswali 2,3 na 4.
Mkuu alisema atatumia wiki mbili Hadi tatu ndo atarudi Tz hii ni kwa mujibu wa TL Mwenyewe then alisema
Ulaya yupo ubeligiji
 
Hakuaga kwenye mikutano?? 😳😳
 
Lissu angekuwa ana nguvu ana watu tungeona hapakaliki baada ya kufanyiwa lile shambulizi ila wapi ndio kwanza hao watu wake wamekaa nyuma ya keyboard na kuishia kumtukana Magufuli tu.
Kumchinja kobe huwa hukufanywi kwa papara, timing ndiyo suluhisho.
Matokeo ya timing mujarabu ndiyo hiyo zoba kazikwa huko porini alikotikea Chato.
 
Atakuja na ataendelea kusafiri nje ya nchi, kama wewe hausafiri hiyo haizuii wengine kusafiri. Umaarufu wake ndiyo unasababisha safari zake ku-make headlines, watu husafiri kila uchwao na si lazima kila safari ziwe publicized kwani safari nyingine na za kibinafsi hata kama anayesafuri ni public figure. Hivi akisafiri nje Mbowe pia mtaianzishia threads za kwa nini Mbowe amesafiri nje ya nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…