ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
Duuuh! Sawa.Ubelgiji
Atakaporejea atapokelewa na Uongozi mzima wa ACT Wazalendo na Chadema masalia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh! Sawa.Ubelgiji
Atakaporejea atapokelewa na Uongozi mzima wa ACT Wazalendo na Chadema masalia!
Ni muda sasa sielewi kuhusu ondoka ya kamanda huyu hapa nchini.Ujue kama haonekani hewani ni msala
Muhimu kuvimiliana tu mkuu.Watakuja kukutukana tu badala ya kujibu maswali yako.
😀😀
Nataka kufahamishwa machache kuhusu huyu kamanda, ni hayo tu mkuu.Ana hoja umuhitaji?
Anasubiri mwezi uishe. Yawezekana anaogopa hata kuona picha za Hayati
Mkuu alisema atatumia wiki mbili Hadi tatu ndo atarudi Tz hii ni kwa mujibu wa TL Mwenyewe then alisemaUlaya kubwa mkuu, ulaya nchi gani ? Pia naomba nisaidie maelezo kwa maswali 2,3 na 4.
Hakuaga kwenye mikutano?? 😳😳Ningependa kufahamishwa na viongozi au wafuasi wa Chadema walio humu kuhusu Tundu Antiphas Mughwai Lissu katika haya maswali machache.
1. Tundu Lissu kwa sasa yu wapi ?
2. Ondoka yake hapa nchini sababu ni nini ?
3. Ni lini atarejea nchini ?
4. Statement ya Chama cha chadema kuhusu kuondoka na kurejea kwa Tundu Lissu ipo wapi ?
Karibuni.
Ameonekana Israel Hija!Mkuu alisema atatumia wiki mbili Hadi tatu ndo atarudi Tz hii ni kwa mujibu wa TL Mwenyewe then alisema
Ulaya yupo ubeligiji
Anhaa sawa. swali 2,3 na 4 majibu yake tafadhari.
(1)Hana hoja.
(2)Anasubiri mwezi uishe. Ni mwezi wa kumbukumbu
Kwa sababu ya (2)(3)anaogopa kuona picha za Hayati
Punguzeni mbege mzee mgayaAmeonekana Israel Hija!
Acha masihara; ndiye huyu?!Ameonekana Israel Hija!
Kumbe ni 17?Atarudi tarehe 17 march katika kumbikizi ya SHETANI ili apondwe mawe.
Usiisahau kununua mawe Makubwa ili SHETANI ashughulikiwe.Kumbe ni 17?
Kumchinja kobe huwa hukufanywi kwa papara, timing ndiyo suluhisho.Lissu angekuwa ana nguvu ana watu tungeona hapakaliki baada ya kufanyiwa lile shambulizi ila wapi ndio kwanza hao watu wake wamekaa nyuma ya keyboard na kuishia kumtukana Magufuli tu.
Atakuja na ataendelea kusafiri nje ya nchi, kama wewe hausafiri hiyo haizuii wengine kusafiri. Umaarufu wake ndiyo unasababisha safari zake ku-make headlines, watu husafiri kila uchwao na si lazima kila safari ziwe publicized kwani safari nyingine na za kibinafsi hata kama anayesafuri ni public figure. Hivi akisafiri nje Mbowe pia mtaianzishia threads za kwa nini Mbowe amesafiri nje ya nchi?Mkuu, mambo kadhaa hayako sawa itakuwa, pamoja na hayo, naomba niulize;
- Kuhuisha visa ndo kufanya nini?
- Walisema ndo amerudi mazima, kama hivyo ndivyo, ina maana ameugua ghafla au alikuwa na appointment ya kurudi hospital kwa kipindi kifupi hivyo?
- Hakuweza kusubiri hizo wiki 2 ili akija aje mazima kweli?
Kwa sasa, kwakuwa mzuka wa kufuatilia haya mambo ya siasa umekufa, sijui lolote, sisikilizi lolote, kuanzia kwa namba 1 mpaka mtendaji wa kijiji!
Kwa mbaali nasikia kuhusu Mpina hivi, Mpina vile, huyu ndio mwanasiasa maarufu kwa sasa?