Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

IMG-20230308-WA0102.jpg
 
Ana hoja umuhitaji?
Anasubiri mwezi uishe. Yawezekana anaogopa hata kuona picha za Hayati
 
Ulaya kubwa mkuu, ulaya nchi gani ? Pia naomba nisaidie maelezo kwa maswali 2,3 na 4.
Mkuu alisema atatumia wiki mbili Hadi tatu ndo atarudi Tz hii ni kwa mujibu wa TL Mwenyewe then alisema
Ulaya yupo ubeligiji
 
Ningependa kufahamishwa na viongozi au wafuasi wa Chadema walio humu kuhusu Tundu Antiphas Mughwai Lissu katika haya maswali machache.

1. Tundu Lissu kwa sasa yu wapi ?

2. Ondoka yake hapa nchini sababu ni nini ?

3. Ni lini atarejea nchini ?

4. Statement ya Chama cha chadema kuhusu kuondoka na kurejea kwa Tundu Lissu ipo wapi ?

Karibuni.
Hakuaga kwenye mikutano?? 😳😳
 
Lissu angekuwa ana nguvu ana watu tungeona hapakaliki baada ya kufanyiwa lile shambulizi ila wapi ndio kwanza hao watu wake wamekaa nyuma ya keyboard na kuishia kumtukana Magufuli tu.
Kumchinja kobe huwa hukufanywi kwa papara, timing ndiyo suluhisho.
Matokeo ya timing mujarabu ndiyo hiyo zoba kazikwa huko porini alikotikea Chato.
 
Mkuu, mambo kadhaa hayako sawa itakuwa, pamoja na hayo, naomba niulize;
  • Kuhuisha visa ndo kufanya nini?
  • Walisema ndo amerudi mazima, kama hivyo ndivyo, ina maana ameugua ghafla au alikuwa na appointment ya kurudi hospital kwa kipindi kifupi hivyo?
  • Hakuweza kusubiri hizo wiki 2 ili akija aje mazima kweli?

Kwa sasa, kwakuwa mzuka wa kufuatilia haya mambo ya siasa umekufa, sijui lolote, sisikilizi lolote, kuanzia kwa namba 1 mpaka mtendaji wa kijiji!

Kwa mbaali nasikia kuhusu Mpina hivi, Mpina vile, huyu ndio mwanasiasa maarufu kwa sasa?
Atakuja na ataendelea kusafiri nje ya nchi, kama wewe hausafiri hiyo haizuii wengine kusafiri. Umaarufu wake ndiyo unasababisha safari zake ku-make headlines, watu husafiri kila uchwao na si lazima kila safari ziwe publicized kwani safari nyingine na za kibinafsi hata kama anayesafuri ni public figure. Hivi akisafiri nje Mbowe pia mtaianzishia threads za kwa nini Mbowe amesafiri nje ya nchi?
 
Back
Top Bottom