Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Hao ni kama walikula kiapo mbele ya Jiwe kuwa lazima wataisema vibaya cdm na viongozi wao daima.
 
Kumchinja kobe huwa hukufanywi kwa papara, timing ndiyo suluhisho.
Matokeo ya timing mujarabu ndiyo hiyo zoba kazikwa huko porini alikotikea Chato.
Pia timing nyingine ndiyo hii ya mama Samia kukubali kutokomeza dhuruma za ccm kwa wana cdm.

Kawakataa wana ccm wenye mawazo ya kidikiteta mchana kweupe.
 
Kumchinja kobe huwa hukufanywi kwa papara, timing ndiyo suluhisho.
Matokeo ya timing mujarabu ndiyo hiyo zoba kazikwa huko porini alikotikea Chato.
Kufa kwa Magufuli ndio ccm wataruhusu uchaguzi huru bila wizi wala kutegemea dola kulazimisha ushindi?
 
Duuh,hajarejea tena?dj kampa vtisho anataka alambe asali pekeyake.
 
Kufa kwa Magufuli ndio ccm wataruhusu uchaguzi huru bila wizi wala kutegemea dola kulazimisha ushindi?
Ilibidi afe ili mambo muhimu kwa mustakabali wa taifa yakae sawa na kweli we're on the right track.
 
Ilibidi afe ili mambo muhimu kwa mustakabali wa taifa yakae sawa na kweli we're on the right track.
Duh! Kweli watu tunatofautiana, yani wewe unaona sasa hivi tunaenda sawa tena kwenye mambo muhimu ya kitaifa?

Isije ukawa ni katika wale mliyoambiwa mtupishe wale stupid gang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…