Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hao ni kama walikula kiapo mbele ya Jiwe kuwa lazima wataisema vibaya cdm na viongozi wao daima.Atakuja na ataendelea kusafiri nje ya nchi, kama wewe hausafiri hiyo haizuii wengine kusafiri. Umaarufu wake ndiyo unasababisha safari zake ku-make headlines, watu husafiri kila uchwao na si lazima kila safari ziwe publicized kwani safari nyingine na za kibinafsi hata kama anayesafuri ni public figure. Hivi akisafiri nje Mbowe pia mtaianzishia threads za kwa nini Mbowe amesafiri nje ya nchi?