Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Chadema imekwisha na imeanguka kama ilivyoanguka CUF iliyokuwa ya maalim seif nadhan Tz wale wa upinzani ambao lengo na nia yao ni kuindosha ccm madarakan yafaa kubadili mrengo wa chama kikuu cha upinzani, chadema hakuna tena kitu kwisha habari yao
Ushindwe na ulegee CHADEMA siyo Lisu wala Mbowe,CHADEMA ni watu wenye mapenzi mema na nchi yao.
 
  • Kwani kusafiri Kwa Tundu Lissu, ndio kusema upinzani umeisha nchini?
  • HIVI UNAJUA MBOWE alikuwa nje ya Tanzania kuanzia Kwa takriban miezi kadhaa kuanzia mwaka 2020 mwishoni hadi 2021
  • Mtu asisafiri? Kusafiri ni kosa?
Achana na hao wajinga kama walishindwa kumwua kwa risasi wanafikiri watamua kwa fitina?
 
Endeleeni kula raha na ccm yenu hakuna aliyewakataza pumbavu zenu.
 
Unapata tabu sana kumtetea Lisu!
Mnadhani na sisi tuna akili ndogo na uelewa mdogo kama ninyi? Hatuishi kwa kutetea mtu. Tunaishi kwa kuutetea ukweli.

Watu wajinga, waliopungukiwa maarifa ndiyo huwa wanaishi kwa uzushi, hadaa, na hoja za kijinga kama mleta mada.

Sisi wengine, huwezi kumaliza zaidi ya miezi miwili kusafiri nje ya Tanzania. Ina maana sisi sote huwa tunaondoka kwa sababu tumeshindwa siasa?

Na hizi ndege zote zinazotua nchini mwetu huwa zinaondoka na walioshindwa siasa, na zinaleta walioshindwa siasa kwenye nchi nyingine?

Ujinga ni mzigo mzito sana. Wajinga mna taabu sana.
 
Magu huyu huyu mwizi na muuaji,Aisee dunia ina mambo.
 
Huyo laana hakuwa mkweli hata mmoja kama mnadanganywa ni hiari yako.

Mnafiki, asiyekuwa ni mwenye Kujali matatizo yanayowafika wananchi wake,mla rambi rambi za tetemeko, muuaji, na kila ovu alilifanya kiongozi huyo.

Amewaibia sana huyo mpuuzi halafu mnakuja huku kudanganyana.
 

Daaaah umeiaibika maana mwanzo ulivyoleta habari kishabiki sana.
 
Chezea ndevu chezea ndevu usichezee dola

Hhhhhhhhhh
 
Unataka aende muhimbili hospital mumtie upupu
 
Yule dada mwenye shati jeupe
 
Uliishawahi kujiuliza chanzo Cha yeye kukimbilia nje ya nchi?,je asingeshambuliwa na kulazimika kukimbilia nje ya nchi,hari ingekuwaje leo?amechemka nini?aliyeapnga kumuua,ndie alikufa,Lisu Bado yupo.
 
Akili ndogo shida sana mbona mnahangaika na vitu visivyo wahangaisha?
 
Alionywa toka mwanzo asije kwa gia ya kumponda magufuli. Matokeo yake kajichimbia kaburi. Asahau tu habari ya siasa.
Kwani Magufuli kapondwa wapi ?labda ardhi ndiyo inayomponda ,aliona raha kutuulia ndugu zetu ,alifikiri atakuwa Jiwe milele,hatokufa, wrong thought
 
Sera za makovu ya risasi vs sera za mbolea, miradi, elimu, afya na n.k kurudi lilikuwa jambo la muda tu

USSR
Mtapata taabu sana na Chadema badala ya kuandika Yafanyayo na Chama chenu mnahangaika na Chadema poleni
 
Endeleeni kula raha na ccm yenu hakuna aliyewakataza pumbavu zenu.
Hakuna cha raha ni shida tupu ki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…