Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaondoka sababu amegombana na mbowe, pia wananchi wamempuuza
- lete sababu,
- ulete source aliyoongea Kuhusu kuondoka kwake.
Hawa wanakomaa na ushoga kutwa wanaomba visa za ulaya na usa au kusomea huko lakini sio iran wala uarabuni. NB. hizi ni propaganda za watawala kwa wapinzani baada ya kufeli majukumu yaoUmeng'ang'ania habari za ushoga; au na wewe ni shoga?
Hatujawahi kumsikia Lisu akimtetea shoga yeyote iwe mahakamani au kwenye uwanja wa siasa. Au amewahi kukutetea wewe kwenye masuala yako ya ushoga? Assuming wewe ni miongoni.
Tulijua tu Lissu atashindwa vibaya mno na hatachukua muda kurudi belgiumKitu gani mbona sielewi[emoji28][emoji28]
- hata Kama wewe sio part of CCM, lakini Hoja zake zilitakiwa zipate majibu.Si zungumzii hoja alizoleta Lissu zijibiwe na ccm mimi sio part of, nnachosema kwa siasa za Tanzania Kiongozi wa Upinzani kuishi ulaya akitarajia kuwa rais wa Tanzania kuwaongoza watanzania ilhali yeye maisha yake hataweza kuvumilia hata wiki 2 kuwa katika nchi lazima arudi kwao ulaya.
Utakumbuka uchaguzi ulipoisha tu 2020 Lissu alirudi ulaya hakutembelea hata jimbo 1 kuwambi wananchi chochote, way forward ya chama baada ccm kujichukulia majimbo takriban yote kibabe na badala yake akadai ametishiwa na kutimkia ubalozi ujerumani na kurudi belgium. Kwa siasa za Tanzania kiongozi wa aina hiyo hataleta tija yoyote
Ndio mana tunatoa angalizo ni vyema Watanzania wanaohitajibi mabadiliko watafute namna nyengine.
Kaondoka sababu amegombana na mbowe, pia wananchi wamempuuza
Unapata tabu sana kumtetea Lisu!Kweli aheri ukose vyote upate akili. Yaanji Lisu kurudi Tanzania, uliambiwa hatakiwi kusafiri nje ya nchi?
Hivi Rais huwa hasafiri nje ya nchi?
Waziri mkuu huwa hasafiri nje ya nchi?
Makamu wa Rais huwa hasafiri nje ya nchi?
Mawaziri huwa hawasafiri nje ya nchi?
Mbowe huwa hasafiri nje ya nchi?
Wafanyabiashara huwa hawasafiri nje ya nchi?
Wanafunzi huwa hawasafiri nje ya nchi?
Wataalam mbalimbali huwa hawasafiri nje ya nchi?
Au mwenzetu wewe tangu uzaliwe hujawahi kusafiri nje ya nchi?
JF kweli imekusanya na waliokosa hata akili ndogo kabisa. Hivi ni lini utaweza kuleta hoja ya maana hata ukaonekana angalao pengine una ile average IQ?
Kazi gani? Au ile ya kusema ushoga ni faragha serikali isiingilie?Ulisema wewe na nani? Kama unaona kazi wanayofanya kina Lisu ni nyepesi Ingia wewe front, umekatazwa na nani?
Serikali imesikia HOJA ya Lissu na kuruhusu uagizwaji wa chakula Kutoka nje kupunguza mfamuko wa Bei za vyakula.Kwanza Toka amerudi Cha maana kipi kafanya? Naona Chadema haijapata impacts yeyete chanya ya Kisiasa.
Wanao kudanganya kwamba hakuwa mkweli ndio haoo wanarudi kuendelea na maisha yao.Huyo laana alikuwa mkweli gani??
Sasaivi hakuna kazi inayofanywa na Lissu kwenye siasa za Tanzania ikaleta tija kwa upinzani wa Tanzania, ndio mana tunatumia hizi platform kuwatanabahisha Watanzania.,Ulisema wewe na nani? Kama unaona kazi wanayofanya kina Lisu ni nyepesi Ingia wewe front, umekatazwa na nani?
Kumbe alitaka ajibiwe hoja , mbona CCM huo mda hawana , wao kazi Yao kutembelea wananchi na kutatua kero- bado hujajenga hoja kisomi
-hilo jino kwa jino Mbona Lissu amefanya Sana na anaendelea kufanya
- Umejua Lissu atakaa Huko alikoenda kwa Muda gani mpaka uje useme ni siasa za You tube?
- Lissu amerudi Kutoka Belgium ametoa Hoja zake mmezijibu ngapi? Mpaka anasafiri Leo hii hakuna hata Hoja moja mliyojibu.
Hilo jibu kwamba ilikuwa haiwezekani kutembelea majimbo 2020 baada ya uchaguzi ndio unalitoa weye leo hapa JF, Tundu Lissu hakusema chochote hata huko kwenye Youtube, alichojua yeye madam ccm wametangaza kibabe ni kukusanya mabegi yake na passport yake kutimkia ubalozini na kurud ulaya., hakuwa na thanks yoyote kwa wananchi na ni wazi Tundu Lissu shida yake ilikuwa ni kuukwaa urais tu na hana sympathy hata kidogo na wananchi wa Tanzania.- hata Kama wewe sio part of CCM, lakini Hoja zake zilitakiwa zipate majibu.
-kuhusu kusafiri kwenda ulaya, bado narudia sio kosa, Kwa sababu hatujui kasafiri kwa sababu ipi Kwa sababu yeye mwenyewe hajasema sababu ya kusafiri whether ni matibabu au mambo mengine
-Kuhusu Lissu kutokutembelea majimbo mwaka 2020 ilikuwa haiwezekani kwa siasa za kipindi kile Kwa sababu mikutano ya kisiasa ilikuwa bado imepigwa marufuku illegally, polisi wangemkamata Kwa kosa feki la Unlawful assembly
- hiyo 2020 kulikuwa na tishio la yeye kuke uawa kwa sababu Lissu yeye mwenyewe alisema amepata taarifa kuwa amalizwe kabisa wasikosee tena Kama 2017 September, ungekuwa wewe ungeweza kubaki Tanzania?
-
-
KwishineiWaswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.
Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.
Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.
=====
View attachment 2519055
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki mbili kuendelea na majukumu yake hapa.
Mvuto haupoKusafiri kosa kisheria?
Umeongea kama vile hatorudi. Tunzeni kauli zenu, kum-taja taja Lisu ndio kunamuongezea umaarufu.Alionywa toka mwanzo asije kwa gia ya kumponda magufuli. Matokeo yake kajichimbia kaburi. Asahau tu habari ya siasa.
Hata asiporejea kwani kutokuwepo kwake hapa nchini mimi naona sawa tu maana sioni umuhimu wake.Makamu mwenyekiti wa CHADEMA,Tundu Antipas Lissu ameondoka nchini kuelekea Ubelgiji kucheck afya yake na kuhuisha VISA yake inayokaribia kwisha muda wake
Tundu Lissu atarejea nchini baada ya Wiki mbili
Source Jambo TV