Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Umeng'ang'ania habari za ushoga; au na wewe ni shoga?

Hatujawahi kumsikia Lisu akimtetea shoga yeyote iwe mahakamani au kwenye uwanja wa siasa. Au amewahi kukutetea wewe kwenye masuala yako ya ushoga? Assuming wewe ni miongoni.
Hawa wanakomaa na ushoga kutwa wanaomba visa za ulaya na usa au kusomea huko lakini sio iran wala uarabuni. NB. hizi ni propaganda za watawala kwa wapinzani baada ya kufeli majukumu yao
 

Attachments

  • 20230216_122805.png
    20230216_122805.png
    44.3 KB · Views: 4
Si zungumzii hoja alizoleta Lissu zijibiwe na ccm mimi sio part of, nnachosema kwa siasa za Tanzania Kiongozi wa Upinzani kuishi ulaya akitarajia kuwa rais wa Tanzania kuwaongoza watanzania ilhali yeye maisha yake hataweza kuvumilia hata wiki 2 kuwa katika nchi lazima arudi kwao ulaya.

Utakumbuka uchaguzi ulipoisha tu 2020 Lissu alirudi ulaya hakutembelea hata jimbo 1 kuwambi wananchi chochote, way forward ya chama baada ccm kujichukulia majimbo takriban yote kibabe na badala yake akadai ametishiwa na kutimkia ubalozi ujerumani na kurudi belgium. Kwa siasa za Tanzania kiongozi wa aina hiyo hataleta tija yoyote

Ndio mana tunatoa angalizo ni vyema Watanzania wanaohitajibi mabadiliko watafute namna nyengine.
- hata Kama wewe sio part of CCM, lakini Hoja zake zilitakiwa zipate majibu.
-kuhusu kusafiri kwenda ulaya, bado narudia sio kosa, Kwa sababu hatujui kasafiri kwa sababu ipi Kwa sababu yeye mwenyewe hajasema sababu ya kusafiri whether ni matibabu au mambo mengine
-Kuhusu Lissu kutokutembelea majimbo mwaka 2020 ilikuwa haiwezekani kwa siasa za kipindi kile Kwa sababu mikutano ya kisiasa ilikuwa bado imepigwa marufuku illegally, polisi wangemkamata Kwa kosa feki la Unlawful assembly
- hiyo 2020 kulikuwa na tishio la yeye kuuawa kwa sababu Lissu yeye mwenyewe alisema amepata taarifa kuwa amalizwe kabisa wasikosee tena Kama 2017 September, ungekuwa wewe ungeweza kubaki Tanzania?
-
-
 
Kweli aheri ukose vyote upate akili. Yaanji Lisu kurudi Tanzania, uliambiwa hatakiwi kusafiri nje ya nchi?

Hivi Rais huwa hasafiri nje ya nchi?
Waziri mkuu huwa hasafiri nje ya nchi?
Makamu wa Rais huwa hasafiri nje ya nchi?
Mawaziri huwa hawasafiri nje ya nchi?
Mbowe huwa hasafiri nje ya nchi?
Wafanyabiashara huwa hawasafiri nje ya nchi?
Wanafunzi huwa hawasafiri nje ya nchi?
Wataalam mbalimbali huwa hawasafiri nje ya nchi?

Au mwenzetu wewe tangu uzaliwe hujawahi kusafiri nje ya nchi?

JF kweli imekusanya na waliokosa hata akili ndogo kabisa. Hivi ni lini utaweza kuleta hoja ya maana hata ukaonekana angalao pengine una ile average IQ?
Unapata tabu sana kumtetea Lisu!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Huyo laana alikuwa mkweli gani??
Wanao kudanganya kwamba hakuwa mkweli ndio haoo wanarudi kuendelea na maisha yao.

Subiri Miga akirudi uende ukapigwe na jua air port kumpokea, alafu akiondoka hakuagi.

Ukweli hupambana wenyewe, nawewe kama hujitoi akili kipumbavu then unaujua ukweli.
 
Ulisema wewe na nani? Kama unaona kazi wanayofanya kina Lisu ni nyepesi Ingia wewe front, umekatazwa na nani?
Sasaivi hakuna kazi inayofanywa na Lissu kwenye siasa za Tanzania ikaleta tija kwa upinzani wa Tanzania, ndio mana tunatumia hizi platform kuwatanabahisha Watanzania.,

Mimi sio mwanasiasa lakini tunayohaki kuwakosoa wanasiasa ambao walijitoa kwa lengo la kuwaletea wananchi mabadiliko ya kisiasa., Mimi sizungumzii weye ndugu yake Lissu ambaye unafaidika na vijisenti anavyokuletea akiwa belgium
 
- bado hujajenga hoja kisomi
-hilo jino kwa jino Mbona Lissu amefanya Sana na anaendelea kufanya
  • Umejua Lissu atakaa Huko alikoenda kwa Muda gani mpaka uje useme ni siasa za You tube?
  • Lissu amerudi Kutoka Belgium ametoa Hoja zake mmezijibu ngapi? Mpaka anasafiri Leo hii hakuna hata Hoja moja mliyojibu.
Kumbe alitaka ajibiwe hoja , mbona CCM huo mda hawana , wao kazi Yao kutembelea wananchi na kutatua kero
 
- hata Kama wewe sio part of CCM, lakini Hoja zake zilitakiwa zipate majibu.
-kuhusu kusafiri kwenda ulaya, bado narudia sio kosa, Kwa sababu hatujui kasafiri kwa sababu ipi Kwa sababu yeye mwenyewe hajasema sababu ya kusafiri whether ni matibabu au mambo mengine
-Kuhusu Lissu kutokutembelea majimbo mwaka 2020 ilikuwa haiwezekani kwa siasa za kipindi kile Kwa sababu mikutano ya kisiasa ilikuwa bado imepigwa marufuku illegally, polisi wangemkamata Kwa kosa feki la Unlawful assembly
- hiyo 2020 kulikuwa na tishio la yeye kuke uawa kwa sababu Lissu yeye mwenyewe alisema amepata taarifa kuwa amalizwe kabisa wasikosee tena Kama 2017 September, ungekuwa wewe ungeweza kubaki Tanzania?
-
-
Hilo jibu kwamba ilikuwa haiwezekani kutembelea majimbo 2020 baada ya uchaguzi ndio unalitoa weye leo hapa JF, Tundu Lissu hakusema chochote hata huko kwenye Youtube, alichojua yeye madam ccm wametangaza kibabe ni kukusanya mabegi yake na passport yake kutimkia ubalozini na kurud ulaya., hakuwa na thanks yoyote kwa wananchi na ni wazi Tundu Lissu shida yake ilikuwa ni kuukwaa urais tu na hana sympathy hata kidogo na wananchi wa Tanzania.

Basigiye wa Uganda, Bobi Wine na Hata maalim seif wamepitia madhila ya kutishwa na kuuliwa mara elfu moja zaidi lakini waliamua kubaki katika Nchi na wananchi kupambana na watawala.

Ndio maana nasema Tundu Lissu ni vyema abaki kuwa Wakili wa kisheria anapokuja Tanzania kuliko kujifanya kiongozi wa upinzani, hafaiiii yaani hafaii.
 
Hii nayo habari au? Tz Ina mijitu ya hovyo sana, badala ya kujadili mambo ya maana inajadili udaku tu
 
Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.

Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.

Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.

=====

View attachment 2519055
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki mbili kuendelea na majukumu yake hapa.
Kwishinei
 
Alionywa toka mwanzo asije kwa gia ya kumponda magufuli. Matokeo yake kajichimbia kaburi. Asahau tu habari ya siasa.
Umeongea kama vile hatorudi. Tunzeni kauli zenu, kum-taja taja Lisu ndio kunamuongezea umaarufu.
 
Haya ndio maridhiano kuwa napata kaposho kadogo ulaya na nikikaa sana nje wanakata riziki

Kaomba kuja kumsakama marehemu tu na kurudi

Hata vilema wanafanya kazi kama bado sheria ya ukimbizi hajapewa apambane tu
Ila alikuja kutoa dukuduku tu sasa atapumua
Hili kwa binadamu ni kawaida na Rais alimuelewa
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA,Tundu Antipas Lissu ameondoka nchini kuelekea Ubelgiji kucheck afya yake na kuhuisha VISA yake inayokaribia kwisha muda wake

Tundu Lissu atarejea nchini baada ya Wiki mbili

Source Jambo TV
Hata asiporejea kwani kutokuwepo kwake hapa nchini mimi naona sawa tu maana sioni umuhimu wake.
 
Back
Top Bottom