Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Hii mijadala ya lizu inamkuza wakati si lolote

USSR
Hakuna anayemkuza Lissu.... Lissu alijipandisha yeye mwenyewe enzi ya kusimamia ukweli kwenye Kashfa ya Escrow enzi ya Bunge la Makinda na akaamua kujishusha yeye mwenyewe kwa kushindwa kuzungumzia mambo yanayowagusa wananchi tangu amekuja nchini
 
Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.

Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Weka maelezo vzr pia weka na chanzo cha taarifa kua kamkimbia lema!!
 
Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.

Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
labda amepata wasiwasi kwamba Lema mapokezi yake yatakuwa makubwa sana kumfunika yeye alivyopokelewa Dar
 
baada ya,wiki mbili atakuwepo.

halafu sioni mantiki hapa.
sasa lisu na lema waliondoka pamoja nchini?
walikua nchi moja.
kwanini lema hakuja siku lisu anakuja.

mfurahishe mumeo akufundishe akili ujue unaandika nini
Yeah achukue huu ushauri wako unamfaa sana.
 
Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.

Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Kwani nani amekwambia amemkimbia?
Una kiherehere sana wewe
 
Sio kila kitu ni siasa ! Yaani Lissu aache kwenda kumuona Dr wake kwasababu ya kumpokea Lema Je tunajua anatatizo gani kiafya au tunataka usahabiki wetu. Tatizo watu wengi hatujali maisha ya hawa wanasiasa tunapenda ndama zao tu kama movies. Mtu unaye mjali kama ndugu usingeweza kusema hivi
Docta ndio kamwita?
 
Huna akili ww.
Narudia uwepo wa Jiwe ulimfanya Lissu a trend.
Kutokuwepo kwa jiwe kumefanya Lissu amedrop.
Kitu kidogo kama hiki unashindwaje kuelewa ww akili fupi!??

..Lissu ameanza ku-trend toka enzi za Mzee Mkapa.

..wewe labda ni mtoto wa juzijuzi, waulize shangazi na wajomba zako wakueleze alipotokea Lissu.
 
Back
Top Bottom