ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Umepanick kijakazi wa mbowePumbaf kijakazi wa Jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepanick kijakazi wa mbowePumbaf kijakazi wa Jiwe
Hakuna anayemkuza Lissu.... Lissu alijipandisha yeye mwenyewe enzi ya kusimamia ukweli kwenye Kashfa ya Escrow enzi ya Bunge la Makinda na akaamua kujishusha yeye mwenyewe kwa kushindwa kuzungumzia mambo yanayowagusa wananchi tangu amekuja nchiniHii mijadala ya lizu inamkuza wakati si lolote
USSR
Weka maelezo vzr pia weka na chanzo cha taarifa kua kamkimbia lema!!Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.
Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
labda amepata wasiwasi kwamba Lema mapokezi yake yatakuwa makubwa sana kumfunika yeye alivyopokelewa DarTundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.
Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Sasa hivi watakuwa wanajinyonga kwa nywele zao.Raia amejinyonga Kwa kutumia chupi huko polisi
Sawa, lolote ni mama yako, poa!Hii mijadala ya lizu inamkuza wakati si lolote
USSR
Eti jamani huyu kibaraka kaenda wapi?Lissu amekwenda wapi?
Umeonaeeeeeee?Takataka
Sukuma gang wahedUmepanick kijakazi wa mbowe
Yeah achukue huu ushauri wako unamfaa sana.baada ya,wiki mbili atakuwepo.
halafu sioni mantiki hapa.
sasa lisu na lema waliondoka pamoja nchini?
walikua nchi moja.
kwanini lema hakuja siku lisu anakuja.
mfurahishe mumeo akufundishe akili ujue unaandika nini
Sasa km anaenda kumwona daktari wake shida iko wapi. Watanzania wengine mna roho za kichawi
Sukuma Gang nyie ni wapumbavu sanaTundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.
Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Kwani nani amekwambia amemkimbia?Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.
Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Ameenda kwa mkeoEti jamani huyu kibaraka kaenda wapi?
Docta ndio kamwita?Sio kila kitu ni siasa ! Yaani Lissu aache kwenda kumuona Dr wake kwasababu ya kumpokea Lema Je tunajua anatatizo gani kiafya au tunataka usahabiki wetu. Tatizo watu wengi hatujali maisha ya hawa wanasiasa tunapenda ndama zao tu kama movies. Mtu unaye mjali kama ndugu usingeweza kusema hivi
Huna akili ww.
Narudia uwepo wa Jiwe ulimfanya Lissu a trend.
Kutokuwepo kwa jiwe kumefanya Lissu amedrop.
Kitu kidogo kama hiki unashindwaje kuelewa ww akili fupi!??
Nimeuliza tu mkuu haina haja ya kuniambia hivyo kama nimekuudhi nisamee.Unawashwa na nini?