Mpumbavu sana. Tulimuonya yeye na chawa wake humu lakini hawakutuelewa.Alionywa toka mwanzo asije kwa gia ya kumponda magufuli. Matokeo yake kajichimbia kaburi. Asahau tu habari ya siasa.
Sasa watuambie anarudi lini ili tumpokee tena kwa mbwembwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpumbavu sana. Tulimuonya yeye na chawa wake humu lakini hawakutuelewa.Alionywa toka mwanzo asije kwa gia ya kumponda magufuli. Matokeo yake kajichimbia kaburi. Asahau tu habari ya siasa.
Alitaka kuonja sumu. Ha ha haaaaLissu amegombana na mbowe
Docta ndio kamwita?
Mnatia huruma!! Tuliwaambia hamuwezi kushindana na kazi za JPM. Ona sasaSukuma gang mwateseka sana.
Lissu ana nguvu kuliko wewe muuaji
Waweke na tume huru ya uchaguzi kabisa.
Sijui unaongea nini? Kawaambia watu wafanye maandamano ila siku ya tukio watu wamepotezea ndio akaamua aondoke sasa kama alitafutwa na bunduki sijui tena jaribio la maandamano alifeli.Angeshawishi akiwa kaburini?
Si tayari mlikuwa mnamsaka na bunduki?
Lissu angekuwa ana nguvu ana watu tungeona hapakaliki baada ya kufanyiwa lile shambulizi ila wapi ndio kwanza hao watu wake wamekaa nyuma ya keyboard na kuishia kumtukana Magufuli tu.Angeshawishi akiwa kaburini?
Si tayari mlikuwa mnamsaka na bunduki?
Mkuu, mambo kadhaa hayako sawa itakuwa, pamoja na hayo, naomba niulize;Unajua sababu ya lissu kurudi ghafla ubelgiji?;
Itasikitisha sana kama usemavyo ndivyo ilivyo.Kaka hiki ulichokiona ndio kimetoka jikoni ndio kipya ndio ujio mpya
Kinachofuata now ni wenyewe Kwa wenyewe kugombana
Mkuu, anafanyiwa matibabu gani yasiotamatika?Hapana
Na alipohojiwa ITV alisema kabisa atakuwa akienda Ubelgiji kwa matibabu
Huyu sio Yule mkwe wa Mangula?
Mkuu 'Ndalilo', hivi nimewahi kukusoma kabla ya leo?Mkuu, mambo kadhaa hayako sawa itakuwa, pamoja na hayo, naomba niulize;
- Kuhuisha visa ndo kufanya nini?
- Walisema ndo amerudi mazima, kama hivyo ndivyo, ina maana ameugua ghafla au alikuwa na appointment ya kurudi hospital kwa kipindi kifupi hivyo?
- Hakuweza kusubiri hizo wiki 2 ili akija aje mazima kweli?
Kwa sasa, kwakuwa mzuka wa kufuatilia haya mambo ya siasa umekufa, sijui lolote, sisikilizi lolote, kuanzia kwa namba 1 mpaka mtendaji wa kijiji!
Kwa mbaali nasikia kuhusu Mpina hivi, Mpina vile, huyu ndio mwanasiasa maarufu kwa sasa?
Duh!Mkuu, anafanyiwa matibabu gani yasiotamatika?
Anapokuja kusema anapambania haki, ni haki zipi anazopambania?
Yule dada aliyepigwa risasi moja tu kwenye daladala alikufa, huyu 16 zimeingia mwilini, kapona! Anajitibu nini tena kisichowezekana hapa nyumbani?
Askofu wa Catholic mmoja, alipasuliwa kichwa hapa na yupo anadunda, kwanini na yeye asiwe mzalendo?
Wafuasi wangapi wa Chadema wanaweza kwenda kutibiwa Belgium?
Wafuasi wangapi wa Chadema, familia zao zina uraia wa nchi nyingine?
Lisu hakuja kumalizia taratibu za kuchukua pesa zake kweli?
Angekuwa ni kipindi cha mwenda zake angeshaa tweet kuwa anatishiwa usalama wake pengine angetokea ubalozi wa ujeruman au uingereza .ameon hamna mtu mwenye muda nayeWaswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.
Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.
Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.
=====
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki mbili kuendelea na majukumu yake hapa.
Wauwaji wakubwa naona mama kawakomesha sasaAngekuwa ni kipindi cha mwenda zake angeshaa tweet kuwa anatishiwa usalama wake pengine angetokea ubalozi wa ujeruman au uingereza .ameon hamna mtu mwenye muda naye
Kichwani una mavi tupu! Ngoja wazazi tuzae tuTundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.
Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Kweli inabidi urtumie zithromax maana bacteria walioko kwenye kichwa chako are resistant to many antibioticsAngekuwa ni kipindi cha mwenda zake angeshaa tweet kuwa anatishiwa usalama wake pengine angetokea ubalozi wa ujeruman au uingereza .ameon hamna mtu mwenye muda naye