Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Tundu Lissu asafiri kwenda Ubelgiji kuonana na Daktari na kuhuisha visa yake

Alionywa toka mwanzo asije kwa gia ya kumponda magufuli. Matokeo yake kajichimbia kaburi. Asahau tu habari ya siasa.
Mpumbavu sana. Tulimuonya yeye na chawa wake humu lakini hawakutuelewa.

Sasa watuambie anarudi lini ili tumpokee tena kwa mbwembwe?
 
Docta ndio kamwita?

Mambo ya hospitali ni binafsi. Huyu ni mtu ambaye mpaka leo ana risasi imebaki kwenye uti wa mgongo! Leo unataka wananchi ndiyo wampangie akamune Dr lini? Kwani tulipigwa naye risasi? Hao ndiyo waliomsimamisha mpaka leo wakimshauri lolote ndiyo anatakiwa kufanya sio kufuata wanafiki ambao wanatafuta kiki
 
Angeshawishi akiwa kaburini?
Si tayari mlikuwa mnamsaka na bunduki?
Sijui unaongea nini? Kawaambia watu wafanye maandamano ila siku ya tukio watu wamepotezea ndio akaamua aondoke sasa kama alitafutwa na bunduki sijui tena jaribio la maandamano alifeli.
 
Angeshawishi akiwa kaburini?
Si tayari mlikuwa mnamsaka na bunduki?
Lissu angekuwa ana nguvu ana watu tungeona hapakaliki baada ya kufanyiwa lile shambulizi ila wapi ndio kwanza hao watu wake wamekaa nyuma ya keyboard na kuishia kumtukana Magufuli tu.
 
Unajua sababu ya lissu kurudi ghafla ubelgiji?;
Mkuu, mambo kadhaa hayako sawa itakuwa, pamoja na hayo, naomba niulize;
  • Kuhuisha visa ndo kufanya nini?
  • Walisema ndo amerudi mazima, kama hivyo ndivyo, ina maana ameugua ghafla au alikuwa na appointment ya kurudi hospital kwa kipindi kifupi hivyo?
  • Hakuweza kusubiri hizo wiki 2 ili akija aje mazima kweli?

Kwa sasa, kwakuwa mzuka wa kufuatilia haya mambo ya siasa umekufa, sijui lolote, sisikilizi lolote, kuanzia kwa namba 1 mpaka mtendaji wa kijiji!

Kwa mbaali nasikia kuhusu Mpina hivi, Mpina vile, huyu ndio mwanasiasa maarufu kwa sasa?
 
Kaka hiki ulichokiona ndio kimetoka jikoni ndio kipya ndio ujio mpya

Kinachofuata now ni wenyewe Kwa wenyewe kugombana
Itasikitisha sana kama usemavyo ndivyo ilivyo.

Baada ya juhudi zote zile na mahangaiko makubwa yote yale waje kuzama wakati walishaogelea sehemu kubwa zaidi ya kuokoa chama chao na kuwatia matumaini makubwa waTanzania juu yao?

Hili nitaliamini nikiliona linatokea.

Lakini niseme kweli, dalili zinazoonekana sasa hivi toka huko siyo nzuri hata kidogo.
 
Hapana

Na alipohojiwa ITV alisema kabisa atakuwa akienda Ubelgiji kwa matibabu
Mkuu, anafanyiwa matibabu gani yasiotamatika?

Anapokuja kusema anapambania haki, ni haki zipi anazopambania?

Yule dada aliyepigwa risasi moja tu kwenye daladala alikufa, huyu 16 zimeingia mwilini, kapona! Anajitibu nini tena kisichowezekana hapa nyumbani?

Askofu wa Catholic mmoja, alipasuliwa kichwa hapa na yupo anadunda, kwanini na yeye asiwe mzalendo?

Wafuasi wangapi wa Chadema wanaweza kwenda kutibiwa Belgium?

Wafuasi wangapi wa Chadema, familia zao zina uraia wa nchi nyingine?

Lisu hakuja kumalizia taratibu za kuchukua pesa zake kweli?
 
Jamaa ni choli sana huyo, baada ya uchaguzi akatuambia makapuku tuingie barabarani yeye akasepa kwenda ubalozini. Na sasa ndo imeisha hiyo, amewaacha chadema solemba. Eti bado kuna watu wanamwamini tu !!
 
Mkuu, mambo kadhaa hayako sawa itakuwa, pamoja na hayo, naomba niulize;
  • Kuhuisha visa ndo kufanya nini?
  • Walisema ndo amerudi mazima, kama hivyo ndivyo, ina maana ameugua ghafla au alikuwa na appointment ya kurudi hospital kwa kipindi kifupi hivyo?
  • Hakuweza kusubiri hizo wiki 2 ili akija aje mazima kweli?

Kwa sasa, kwakuwa mzuka wa kufuatilia haya mambo ya siasa umekufa, sijui lolote, sisikilizi lolote, kuanzia kwa namba 1 mpaka mtendaji wa kijiji!

Kwa mbaali nasikia kuhusu Mpina hivi, Mpina vile, huyu ndio mwanasiasa maarufu kwa sasa?
Mkuu 'Ndalilo', hivi nimewahi kukusoma kabla ya leo?

Nitapenda kukusoma zaidi siku zijazo panapo majaaliwa, maanake sioni kama unao ulimi wa kuonja asali au matakataka mengine.

Ila ninakuomba, usiache "kufuatilia". Hiyo ni kazi ya kudumu, ungali hai huwezi kamwe kutofuatilia, na hasa unapoona nchi yako inavurugwa hovyo hovyo.

Mpina?
Namtazama tu kwa matumaini. Ningesema ni mtu wa msimu, lakini naona kuna historia fupi nyuma yake. Sasa sijui anao uimara kiasi gani wa kusimama yeye kama yeye, na watu waanze kummwona na kumtambua.

CHADEMA? ya Mbowe?- Hawa ni watu wa Samia, hakuna kitu tena huko.
Si ajabu hizi stori za Lissu kurudi alikotoka zinaanzia huko.
Na kama hivyo ndivyo, basi Lissu naye kajiondoa kwenye mapambano. Baada ya mikasa yote aliyopitia, pengine siyo sahihi kumlaumu kwa uamzi wake.
 
Kwani Ubelgiji hakuna watanzania?

Watanzania wangapi wako Ubelgiji na mataifa mengine ya jumuiya ya ulaya wanaenda na kurudi kwa nyakati tofauti?

Lissu hajaukana uraia wa Tanzania bado ni mtanzania , ajabu ni kuwa mnasafirisha wanyama pori kwenda uarabuni jumla jumla ila mnaficha mtanzania anayesafiri kihalali kwenda nje mnajengea story au wewe hujawahi kusafiri kwenda nje kwa matembezi au matibabu?

Hawa ndio maDC wa Samia na ndio wanaitwa Think Tanks wa CCM.
 
Mkuu, anafanyiwa matibabu gani yasiotamatika?

Anapokuja kusema anapambania haki, ni haki zipi anazopambania?

Yule dada aliyepigwa risasi moja tu kwenye daladala alikufa, huyu 16 zimeingia mwilini, kapona! Anajitibu nini tena kisichowezekana hapa nyumbani?

Askofu wa Catholic mmoja, alipasuliwa kichwa hapa na yupo anadunda, kwanini na yeye asiwe mzalendo?

Wafuasi wangapi wa Chadema wanaweza kwenda kutibiwa Belgium?

Wafuasi wangapi wa Chadema, familia zao zina uraia wa nchi nyingine?

Lisu hakuja kumalizia taratibu za kuchukua pesa zake kweli?
Duh!

Ninaendelea kukusikiliza mkuu 'Ndalilo'.

Pengine tukisie ifuatavyo:

Lissu amekuja nyumbani, kakuta ile CHADEMA aliyokuwa mwanachama wake na Makamu wake haipo tena. Yaani kajinea hali halisi mwenyewe, bila ya kuambiwa na mtu.

Sasa basi, pamoja na utetezi wake wa siku zote wa 'HAKI' (sijui kama anao msimamo zaidi ya hiyo 'HAKI' kwa waTanzania), amekuta CHADEMA haina sera ya ziada dhidi ya CCM ya Samia, ambayo Mwenyekiti wake tayari amekwishakubaliana na Mwenyekiti mwenzake wa CCM.

Sasa Lissu atatoa wapi ajenda nyingine atakayoweza kuisimamia ndani ya CHADEMA!
Na kumbuka, hili ni muhimu sana, pamoja na uharakati wake wote, yeye bado ni binaadam tu kama sisi wengine wote. Sote tuna shukrani au tunalaani tutendewapo.

Maisha ya Lissu (kuwa kwake hai), baada ya zile risasi 16, kwa sehemu kubwa ni kutokana na uamzi uliofanywa na Mbowe, kama Mwenyekiti wake, na kufanya maamuzi ya kumtoa nchini kwenda Nairobi.

Leo hii ukitegemea Lissu, pamoja na kujitambua kwake aliko nako, utegemee kwamba atasimama mbele ya Mbowe, na kuwa na tofauti naye, itakuwa ni kutomtendea haki huyu Lissu.

Lissu hawezi kuichukua CHADEMA toka mikononi mwa Mbowe kutokana na tofauti zao za kimsimamo.

Kwa hiyo, uamzi ulio rahisi kwake, ni kujiondoa, na kurudi alikotokea.
 
Wanachadema ni sawa tuu na wana-ccm wao kazi zao ni kusifia kila kitu kinachofanywa na vyama vyao hata kama ni vibaya, mnatuchanganya sisi ambao hatuna vyama
 
Waswahili walisema mbio za Sakafuni huishia ukingoni. Hatimaye sasa rasmi imekuwa wazi hakuna marefu yasiyo na ncha.Hatimaye Lissu achemsha na Kurudi Belgium.

Alikuja kwa mikwara mingi sana, wenye akili tulihoji hao watu anaozungumzia wako wapi? Na tukasema "muda utasema". Hatimaye sasa kachemsha mwenyewe. Hata kuondoka kwake hakuna viongozi wa chama walioenda kumsindikiza.

Pole sana Lissu, wakati mwingine utajifunza.

=====

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesafiri kwenda Ubelgiji kwa ajili ya kuonana na Daktari wake kwa vipimo vya kawaida pamoja na kuhuisha visa yake inayomaliza muda wake. Lissu anatarajia kurejea nchini ndani ya wiki mbili kuendelea na majukumu yake hapa.
Angekuwa ni kipindi cha mwenda zake angeshaa tweet kuwa anatishiwa usalama wake pengine angetokea ubalozi wa ujeruman au uingereza .ameon hamna mtu mwenye muda naye
 
Angekuwa ni kipindi cha mwenda zake angeshaa tweet kuwa anatishiwa usalama wake pengine angetokea ubalozi wa ujeruman au uingereza .ameon hamna mtu mwenye muda naye
Wauwaji wakubwa naona mama kawakomesha sasa
 
Tundu Lissu ameondoka nchini huku maandalizi ya kumpokea Godbless Lema yakizidi kupamba moto.

Kwani nini Lissu amemkimbia Lema? wajuzi wa mambo tuambizane
Kichwani una mavi tupu! Ngoja wazazi tuzae tu
 
Angekuwa ni kipindi cha mwenda zake angeshaa tweet kuwa anatishiwa usalama wake pengine angetokea ubalozi wa ujeruman au uingereza .ameon hamna mtu mwenye muda naye
Kweli inabidi urtumie zithromax maana bacteria walioko kwenye kichwa chako are resistant to many antibiotics
 
Back
Top Bottom