Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Mkuu, mimi nili like kabla Lissu hajaanza kuongea, baada ya kuyasoma aliyoyaongea nataka ni Like tena maana anastahili.
Hakuna namna ya kugonga Likes mbili kwenye Comment moja?
 
Kama Lisu akishindwa kutii sheria bila shuruti atasaidiwa kukaa mahabusu kwa siku saba siku ya nane wataendelea na campaign. Dawa ya kibri ni kuwa na kibri zaidi yake.
Wee TAGA tu
 
Sijaongelea kuwa au kutokuwa muhalifu. Sijaongelea kupata haki au kukosa haki. Nimeuliza anapata wapi ulinzi regardless ya anachotaka kufanyiwa na mamlaka kuwa ni haki au si haki. Nani anamlinda Tundulisu?
Huku tunako kwenda,muda wowote Lissu anaweza akajitangaza Kama Raisi wa Tanzania maana yeye hata hiyo Tume ya Uchaguzi aiheshimu kabisa!!
 
Ilikuwa Polisi wacheze pasi,sasa imechezwa na Tume.
 
Hivi umeyaelewa maelezo yake au kwa kuwa kaandika kidhungu?
Tafuta mkalimani Basi akueleweshe kwanza ndo uandike
 
Sijaongelea kuwa au kutokuwa muhalifu. Sijaongelea kupata haki au kukosa haki. Nimeuliza anapata wapi ulinzi regardless ya anachotaka kufanyiwa na mamlaka kuwa ni haki au si haki. Nani anamlinda Tundulisu?
Wananchi kwa kupitia katiba yao.
 
Chama siyo yeye. Tatizo anachukulia yeye ni zaidi ya chama kwasababu mabeberu wanamjua yeye. Anataka afanye fujo ili mabwana zake wazungu waone.

2015 Magufuli aliiweka CCM kando akajinadi kwa jina lake lililokuwa mtaji mzito wakati huo kuliko chama chake. Sasa Lissu naye ana jina zito kuliko chama hivyo analitumia kikamilifu. Ilikuwa kosa la kufisha (fatal mistake) kujaribu kumuua kiharamia kwa risasi zote zile. He is now invincible. Jiandaeni kwa consequences ambazo hakuna aliyetarajia.

Porojo za “mabeberu” zilikuwa enzi za Mwalimu. Sio enzi hii ya utandawazi.

Jiulize sana. Leo hii Rais amekuwa “mpole” vibaya sana habari za Lissu zikitajwa. Polisi wanambembeleza na kulialia! NEC inahaha! Wakuu wa mikoa na wilaya utadhani wamegandishwa kwenye barafu! This is unheard of in the Tz of Magufuli that we know! Time to pay.
 
Tume ina watu retired Judges lakini wanashindwa kujisimamia kweli. Hata japo kukemea Magufuli anavunja maadili adhalani. Anaamrisha barabara ijenge ktkat ya kampeni hiyo si ni rushwa jaman. Daah Majaji haya wanajidhalilisha
 
Anatafuta triggering factor...ya kuanzisha vurugu. Yawezekana ni moja ya kazi alizopewa, maana inasemwa si mwananchi mwenzetu yule. Fuatilieni ukweli wa hili.
Mataga mna tabu sana,ukisoma maelezo yake vizuri,huwezi kuandika ujinga Kama huu
 
Hili taifa wote tunalielewa..... Tunajua matokeo ya kutokutii sauti za mamlaka.
Swali ni nani anamlinda Lisu? Kwann mamlaka zinapata shida kumdhibiti?
Lissu kasema hawezi kuvumilia kukanyagwa na wa watu ambao wanatakiwa wafuate sheria.Hivyo hawawezi mfanya chochote sababu hawana kifungu cha sheria kinachowalazimu kumdhibiti.
 
Umma uko nyuma yako Tundu Lissu, umekwisha tuambia hawa polisi hawawezi kutuua wote, wengine ni watoto wetu, binamu zetu, jirani zetu.

Haki huchelewa lakini huwa inafika.
Lissu anachinja dume la ngombe bila kulifunga kamba japo anamalizia kukata koromeo, linapoelekea kukata roho hawezi kukwepa kujeruhiwa na mateke yake.
 
Anapambana na aliyeshika mpini. Busara ilikuwa ni chama chake kitoe tamko siyo yeye binafsi.

Lissu anadai sheria za maadili na chochote kitakachotokea na mgombea barua na malalamiko yafike kwake tena yaende sambamba na ilivyotaka sheria. Hofu ya nini wakimpiga risasi tundu lissu huwezi jua nyuma ya lissu kuna nini. Angalia jeshi la polisi walivyositisha wito wao kuna nguvu mahali fulani kwenye haya mambo mimi na ww hatujui
 
Haka kajamaa bhana eti si. Mmeona nyomi?

Hebu muonesheni nyomi la Slaa 2010, achaneni tu na hili la Lowasa la 2015.
Muonesheni lile la Slaa 2010
 
Yani ulipoandika 'balua' badala ya 'barua'nikagundua ww sio!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…