Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Hawa Kenge wa CCM na magenge yao wanahitaji mtu kama Lissu.

Lissu endelea na kampeni ili wajue uchaguzi hakuna mchezo. Wakitaka waharibu uchaguzi kabla ya kupiga kura. Kama wanataka amani watende haki,hakuna uchaguzi unaokosa propaganda kama kuna Magufuli ana ngozi laini aachane na siasa.
 
Kajifunze kwanza kuandika vizuri, unatuchafulia uzi
 
Kuna mvuruga amani zaidi ya Magufuli hapa Tanzania????

Mtu anaewabagua watanzania na kusema wakichagua upinzani hawapelekei Maji huyo si shetani kabisa??
 
Hakuna cha ajabu hapo, Magufuli anatafuta lifti ya tume baada ya kuzidiwa mbio kwenye marathon. Hili lilitegemewa hata kabla.
 
Mwaka huu β€˜mbogamboga’ lazima imwagwe, usitutishie nyau!
 
Ameambiwa ana nafsi ya kkukata rufaa,sasa hayo ya kuendelea na kampeni ni kutafuta shida nyingine!!Tunajua ameshapata momentum lakini ni lazima amkumbuke Mungu,Kila jambo lina sababu!!
Akate rufaa kwa mashitaka yapi?tume imeona magufuli hana uwezo wa kuendelea na kampeni imeamua kufanya uhuni
 
Balua ndio nn we nguchiro???
 
NEC inamdekeza jiwe kwa kusimamisha kampeni za lisu!!KAMA JIWE NI MGONJWA SI ASEME TU TURUDI CHIMWAGA TUMPATE MTEULE MPYA!!! KWANINI UFIE IKULU KWA PACEMAKER KUFELI???

Wameona Lisu akiendelea na kampeni anaweza kumuua kwa presha..
 
Kwa alivyoshiriki tumeisoma vizuri Tume, kinyume chake tusingalimwelewa

V
 
Siasa za ubabe mwisho mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…