Mshsuri babu yako afanye hivyoConsequence zakuendelea kufanya kampeni zinaweza ku justify hatua ingine kubwa zaidi na ya kuumiza.Naamini NEC wakimkata kuendelea na uchaguzi hakuna kitakachotokea (kama ilivyotokea kwa JECHA).Atumie busara na ajenge hoja!!
Na nchi hii ni zaidi ya Magufuli na ccm,unajitia pamba masikioni kujing'ang'niza Tanzania ni ya ccm na washangiliaji wake unashindwa kujua ni ya Watanzania,unadhani wenye njaa waliotengenezwa na ccm ndani ya nchi hii wakiamua wasimame man to man against ccm na hao vibaraka wake polisi yupo wa kuwazuia?Who hell is Lisu?
Ataangamizwa na nchi itendelelea!
Nchi hii ni zaidi ya lisu
Pole yako kama polepole wenu,sidhani kama unaakili kuwazid kina Aigipii Ziro,bashirue,meko.acha wakimbizwe mchakamchakaAnachokitafuta na Amsterdam wake wanakaribia kukipata. Niliwahi kusema Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia ni ZERO. No wonder anatembea kwa kuchechemea kwa kutofunzwa na ***** na kufunzwa na ulimwengu. Sasa acha ulimwengu uendelee kumfundisha zaidi.
Ulitaka auziwe kiki!!?Wanampa kiki bureeee
..................Mara hii atapanda ndege Magufuli kwenda the hague Lissu atabaki Tanzania akimuangalia kwenye tv akiwa kizimbani.Acha uzwazwa wewe,! Hivi vitisho vyenu pelekeni kwa beberu Amsterdam,
Lisu akifanya ujinga atafinyangwa kwa mujibu wa sheria za nchi hataogopwa yeye siyo mkubwa kuliko tz!
Usifikiri Lisu ana wafuasi yeye pekeake hata wenzie wana wafuasi. Mwambie afanye mambo yake kwa kiasi la sivyo atarudi kwa beberu wake amsterda akiwa analia
Tulia tukumenyue....Umaarufu kunuka. Huyo pimbi mbona mnamuoverrate sana?
Basi we "matacco"unajiona kama jiwe hapo nyuma ya keyboard, nchi hii ina wapuuzi wengi sana.Labda aendelee na kampeni nyumbani sio kwa ardhi ya Tanzania yeye anataka kutuvurugia amani Yetu kwa kuwa ana option ya kukimbilia ubelgiji Sasa ajaribu kwenda kinyume na hiyo hukumu tuone hao wanaompa jeuri Kama wataingia hapa nchini kwetu kumsaidia. Yeye si mwanasheria aende akapambane na wenzie kwenye ulingo wa kisheria Kama angekua mstaarabu afuate utaratibu wa kutatua issue yake kwa amani otherwise sheria itambana kwa sababu alisain
Hapana mkuu ,tume Ina watu wazuri ila nashangaa sijui inakwama wapi ,tume zimekuwepo ila ya Sasa naona Kuna Mambo hayako sawa, mkuuHuku tunako kwenda,muda wowote Lissu anaweza akajitangaza Kama Raisi wa Tanzania maana yeye hata hiyo Tume ya Uchaguzi aiheshimu kabisa!!
Unaweza ukawa gwiji la sheria lakini ukiwa CCM inatakiwa uwe zero brain ili uweze kuendana nao huko.Ukiwa CCM ukilaza unakuhusu!Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.
Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu acha uchochezi huu, kumbuka ulipopita kuanzia sekondari,chuo n.k migomo huwa na waratibu ,hivyo mpaka mda huu chadema na mgombea wao ndo watu wao wanasubili matamko toka kwao ,mfano wakitoa tamko hapa kwa kile unachosema itakuaje,acheni ushabiki wa maajabu ebu angalia tz kwanza,wengine hata ndege hatujawai panda na pesa za manati ,vipi kikiwaka naanzia wapi .acheni kujitoa ufaham mkuu ,Kinukisheni sasa acheni vitisho mbuzi
Anachokitafuta na Amsterdam wake wanakaribia kukipata. Niliwahi kusema Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia ni ZERO. No wonder anatembea kwa kuchechemea kwa kutofunzwa na ***** na kufunzwa na ulimwengu. Sasa acha ulimwengu uendelee kumfundisha zaidi.
Ndiyo ulimshauri achukue uraia mwingine zaidi ya Tanzania. Kweli waxungu mbumbumbu.Sasa a achague popo ni mnyama au ndege[emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1588442View attachment 1588443
Mbona Kuna mgombea ana uraia wa Burundi n Tz[emoji1]Ndiyo ulimshauri achukue uraia mwingine zaidi ya Tanzania. Kweli waxungu mbumbumbu.Sasa a achague popo ni mnyama au ndege
Chama siyo yeye. Tatizo anachukulia yeye ni zaidi ya chama kwasababu mabeberu wanamjua yeye. Anataka afanye fujo ili mabwana zake wazungu waone.
Hahaha waache na chama chao wewe inakuhusu nini 😂😂😂😂😂Chama siyo yeye. Tatizo anachukulia yeye ni zaidi ya chama kwasababu mabeberu wanamjua yeye. Anataka afanye fujo ili mabwana zake wazungu waone.
Hii lugha common mwananchi wa kule Nyangwale anaijua?Thread on NEC Suspension of my Campaigns👇🏾:-
Just received news of suspension of my presidential campaign for alleged ethics violations. I never was served with any ethics charges nor afforded the opportunity to submit written defence to the charges.
I never was summoned to the Ethics Committee to defend myself in person. Even the decision to suspend me has not been communicated to me as required by the Ethics Regulations.
This orchestrated 'rough justice' is yet another proof of a discredited NEC and a compromised electoral system. The NEC’s decision is totally unacceptable. I'll not be intimidated or silenced. The campaign will continue on Sunday as scheduled.
#SasaBasi #TunduLissu2020 https://t.co/QZEZMnTzd3
Kweli kabisa acha ajifanyanye ni msomi wa sheŕia kuliko wote Tanzania ,mimi huwa nasemaga hata waandishi wa habari wanapotangaza redioni huwa wanasikilizwa na watu wenye uelewa tofauti wapo wanaojua kuliko mtangazaji na wapo wanaomuona matangazaji anajua sana sasa ndio hawa wanaompotosha huyu Bwana Ant Chrst Lissu aache jazba mwanasheria gani asiyeitii mamlaka,hata kama anajua sheria sana kuliko Majaji basi hata busara na heshima kakosa kiasi cha kuwaambiwa watu wajinga mbele ya vyombo vya habari .Huyu Bwana kanifanya nimpuuze sana.Consequence zakuendelea kufanya kampeni zinaweza ku justify hatua ingine kubwa zaidi na ya kuumiza.Naamini NEC wakimkata kuendelea na uchaguzi hakuna kitakachotokea (kama ilivyotokea kwa JECHA).Atumie busara na ajenge hoja!!
Hamna cha target wala nini, wafanye lolote ndio mtajua hamjui tena naona kama mnachelewa hv.Target yao itamnasa Tundu, coz hafikilii Target yao nn..
Fuateni utaratibu😂😂😂Kweli kabisa acha ajifanyanye ni msomi wa sheŕia kuliko wote Tanzania ,mimi huwa nasemaga hata waandishi wa habari wanapotangaza redioni huwa wanasikilizwa na watu wenye uelewa tofauti wapo wanaojua kuliko mtangazaji na wapo wanaomuona matangazaji anajua sana sasa ndio hawa wanaompotosha huyu Bwana Ant Chrst Lissu aache jazba mwanasheria gani asiyeitii mamlaka,hata kama anajua sheria sana kuliko Majaji basi hata busara na heshima kakosa kiasi cha kuwaambiwa watu wajinga mbele ya vyombo vya habari .Huyu Bwana kanifanya nimpuuze sana.