Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

I fail to understand... post za Lissu ambazo zipo kwenye lugha ya kiingereza zinakua zinamlenga mtanzania ama?? Ukiitwa wakala wa mabeberu utalalamika?
@El Maestro naomba nikuulize tuswali tuchache, je unajua tunatumia lugha rasmi ngapi ndani ya taifa hili? Hivi sheria zote zilizotungwa kwa lugha ya Kiingereza hapa nchini zinamlenga nani?

Katika katiba yetu, ziko lugha mbili zimetumika ambazo ni Kiingereza na Kiswahili, je unajua kunapotokea mkanganyiko katika kutafsiri Katiba, tafsiri ipi inatumika kuondoa huo mkanganyiko?

Na je unajua kuwa hiyo lugha ya Kiingereza inayotumika inawalenga Watanzania na si viumbe kutoka sayari ya Mars? Someni vijana, msikumbatie ujinga mkaamini mnajua kumbe hamjui chochote.
 
Akili ndogo, hapo umejenga hoja gani?
Nasubiri akili kubwa idadavue...! Sitegemei akili kubwa ianze kushangaa...! Muulize Lissu ameiandaaje wale aliokaribu naye kuwa wananchi wanaoipenda nchi yao? Sina mashaka na wewe kuwa unaangukia kundi gani katika muktadha huu!
 
Nasubiri akili kubwa idadavue...! Sitegemei akili kubwa ianze kushangaa...! Muulize Lissu ameiandaaje wale aliokaribu naye kuwa wananchi wanaoipenda nchi yao? Sina mashaka na wewe kuwa unaangukia kundi gani katika muktadha huu!
Bado uko nje ya hoja iliyo mezani, huwezi nipeleka nje ya mada siyo robot la Lumumba, ainisha hoja yako na mada (uzi) usitetereke kama bisi.

Misukule ya Lumumba Lissu kawakamata
 
...usitetereke kama bisi.
Ha ha haaa! Mambo ya 'Mcharuko' haya!
===
Tuendelee na mada, mkuu, maana somo umelipata barabara! Yaani hadi inafurahisha jinsi ninyi watani zangu mnavyoshindwa kukiri wazi wazi jinsi mlivyoshindwa kufanya maamuzi sahihi pale Mlimani City! Poleni hata hivyo.
 
Mbona mfano wako ni nje ya mstari Mraaa Au ndo vile tena
 
kama The Hague unaandika The hage unafikiri nitabishana na wewe Kilaza

Ussr haipo tena kuna Russia, pia hawakudukua uchaguzi bali walijaribu kuingilia kwa kushawishi. Walichodukua ni Email binafai ya Bi Clinton

Sikujui jina na sura halisi ila kwa maandishi yako wewe ni Kilaza tu na nina uhakika ni form 4 failure na hata A level hujafika. Mtu mdogo sana kuniuliza kama nakujua kuna watu wana rub shoulders na wakubwa wako, na pia usidhani kila anayekosoa ni wapinzani wengine ni makada ila wanatanguliza Taifa mbele
 
@El Maestro naomba nikuulize tuswali tuchache, je unajua tunatumia lugha rasmi ngapi ndani ya taifa hili? Hivi sheria zote zilizotungwa kwa lugha ya Kiingereza hapa nchini zinamlenga nani?...
Ndugu, Kenya wanafundisha English only from primary kwenda elimu za juu, kwenye kampeni wenyewe wanatumia kiswahili chao kibovu, yani unaamini kabisa kwenye local politics we should use English? Mimi sipo upinzani lakini sometimes tunashauri tu kama mnaona mpo sahihi sawa
 
Haters
 
Walete ujinga wati wajitoe muhanga,huenda mkaelewa mlikuwa mnachezea shilingi chooni!
 
Kana maneno ya kejeli alafu huwa kanayatoa kwa wafuasi wake wa humu jf
Kumbuka jf kuna wanasheria wenzake sio nyie mafurushi mnaotunga sheria msizoweza kuzifuata. Safari tutawazalisha!
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu
 
Siyo kila aliyesoma sheria ni mweledi wa sheria, wengine wameambulia vyeti tu. Mweledi wa sheria nchi hii Ni mmoja tu.....Tundu Lisu.
 
Waziri Mkuu majaliwa anaruhusiwa kisheria kufanya kampeni? Lissu atatumia "namna" inayotumika kwa Majaliwa kwa kipindi hicho cha siku 7, sawa sawa?
 
Huu ni wakati wa kampeni wewe mjinga!
 
Zifuatazo ni baadhi ya kauli tutakazozisikia kutoka kwa wafuasi wa CHADEMA, baada ya uchaguzi;

TUNAENDA ICC, LAZIMA MUITWE THE HAGUE
1. "Sitapiga kura tena"
2."Watanzania hawajielewi"
3."Wagombea wa ACT wamesababisha Lema,Sugu,Mbowe,Msigwa,Mdee kuanguka.Zitto ni Yuda"
4."Idara ya habari Chadema ifutwe"
5."Watanzania waoga sana"
6."Sitatuma hela kijijini" utafikiri huwa anatuma
7."Magufuli sio Rais wangu"
8."Tundu sema chochote tuingie barabarani"
9."Siangalii Tv wakati Magufuli anaongea"
10."Mbowe sasa basi"
 
Endeleeni kusupport ujinga ila hamjui mnachezea amani!Nawaambia mkifanya ujinga basi kuna kila dalili damu itamwagika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…