Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Ibaki hivyohivyo: ATASHINDWA. Kwann warekebishe ilhali ulichoandika ndiyo sahihi.Atashinda uchaguzi huu kwa kishindo. Moderater rekebisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ibaki hivyohivyo: ATASHINDWA. Kwann warekebishe ilhali ulichoandika ndiyo sahihi.Atashinda uchaguzi huu kwa kishindo. Moderater rekebisha.
Vipi bado haujajifungua.Ibaki hivyohivyo:ATASHINDWA. Kwann warekebishe ilhali ulichoandika ndiyo sahihi
Ben sanane Akwilina Mawazo hawa baba lao ni nani?Magufuli baba laooo
Vipi mdingi bado anavaibreti?Magufuli baba laooo
Bora afanye kampeni na wajaribu kumzuia ili dunia ione na ikusanye vizuri ushahidi juu ya hawa wauaji na watu wenye roho mbaya
Ingawa hili tu la kumzuia kufanya kampeni kwa siku 7 ni ushahidi tosha
Waulize wenyeweBen sanane Akwilina Mawazo hawa baba lao ni nani?
Tume yetu haina tofauti na ya Uganda. Washenzi watupu wamejazana pale hawajui hata nguvu waliyonayo wanasubiri kusikia jiwe linasema nini. Ningekua naongoza tume jiwe asingegombea mwaka huu kwa uvunjaji wa sheria anaoufanya kwenye kila kampeni. Inashangaza jiwe anaweza fanya chochote anachojisikia na mtu asimwambie chochote kile, unajua madikteta hua ni madikteta kwa sababu gani? Nchi ya Tanzania vilaza mmezidi duh
Nina imani Lisu akipita hata Chadema atipanga vizuri kama chama cha mawakili alivyo kisimamia wakati wakeCdm hapana labda Lisu
Waulize wenyewe
Kabaila lile au bwanyenye lenye kumiliki ranchi ya lilo pora kwa wahangaza?Waulize wenyewe = wenye dhamana na usalama wetu yaani akiba jiwe na genge lake la wasiojulikana.
🙌Lissu: Mimi nina Jeshi? Nlisema Hatutokubali kuibiwa kura, hatutokubali kanuni zisipofuatwa. Kama hizo ndo Jaziba basi nina Kaziba
Kama wanataka hivyo wafuate sheria , vinginevyo patachimbika