Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Nukuu ya siku

"Ukitaka kuwaudhi CCM we ongelea HAKI.

Wao wanataka AMANI tu. HAKI wao haiwahusu;"

Na: FUSO
Hawawezi kuzungumzia haki kwani hawawezi kui practice . Bila mbeleko ya vyombo vya dola na vya maamuzi wananchi watawaweka pembeni .
 
Tundu hayupo kwa maslahi ya chama chake wala wananchi, yeye yuko kwa maslahi ya Robati Amstadamu. Na anamlipa fadhila kwa kafuata kila amri anayopewa huku akisahau alipo
Ndivyo alivyokuambia au hayo ni maneno ya Askofu wako Gwajima ??
 
Lissu anajua anacho kifanya yupo kisheria zaidi atuta kubali uwonevu ata kidogo pia aturudi nyuma hapa ni kusonga mbele tuuh
 
Hata viongozi wa dini wameungana na ccm hawahubiri haki Tena
Amani utatoka wapi bila haki
 
Apumzike tu, mbona kesha piga vya kutosha. Siku ishirini zilizobaki atazunguka tena.
Mimi nadhani busara ni kupumzika tu hizo siku saba,,maana wanaweza kumuengua bila kujali chochote kitakachotokea na hii itakuwa ni hasara kubwa mno.
 
>Magufuli anaongea kuhusu VIWANDA?
>Magufuli anaongea kuhusu ukosefu wa madawa vituo vya afya?
>Magufuli anaongea kuhusu KATIBA MPYA?
>Magufuli anaongea kuhusu AJIRA..??
>Magufuli anaongea kuhusu WASIOJULIKANA?

Huu ujinga wenu mnaokaa nao kichwani ni mzigo tupu.
Anajua hawezi iushinda. Anaogopa aibu. Mana uchaguzi ukipita atakuwa irrelevant except for some verrückte Personen wa humu wanaojitangazia kushindwa kwa woga na visingizio. Wanaogopa vivuli vyao kiasi wamekuwa wanatunga uzi kila siku kujifariji...
 
Ha ha ha nimecheka kwa nguvu aisee hizi fake ID zinatusaidia sana humu

Wadhani ziko mbali na ukweli?

Usisikie jinga letu, magonjwa matambuka, bia yenu, Billie gate nk ukadhani ni bure!
 
Yani huyu ni mgombea anajifanya anaijua sheria Ila ndo mvunjifu Wa kwanza wa sheria.
 
Lissu tunakuaminia wewe ni Mwanasheria nguli, una akili kuliko Watanzania wote. Kitu kizuri una mawakili Wazungu wanaoweza kukutetea popote duniani.

Usifuate sheria za Uchaguzi, Wewe unajua zaidi kuliko viongozi wa Tume ya Uchaguzi, wewe unajua zaidi kuliko jeshi la polisi

Tunaomba jumapili endelea kupiga kampeni, tume wakikufuata fuata wasemee kwa Robert, polisi wakikufuata fuata wasemee kwa Robert

Hata ukishindwa urais usikubali matokeo umwambie Robert akusaidie
 
Kwa sheria tu TL ni mwalimu wenutake msitake nyinyi. Hamna u we led wa sheria mabavu theory
 
Sawa licha ya kuandika kinafki

Ni hivi, Sheria lazima ifuatwe kwa kila upande

Ukishindwa iheshimu sheria yako hamna wa kuiheshimu.

Ni wazi Lissu anajua sheria. Hata uandike kinafki ukweli ni kwamba Lissu anajua sheria kama anavyojua kula.

Ni tofauti na wanasheria wa Lumumba amabo ili wakumbuke ni lazima warudi kusoma tena.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio mkuu mgombea wetu anaakili sana, tunamuomba aendelee kudharau vyombo vyenye mamlaka Kwani yeye anajua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…