Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Wewe jukwaa hili siyo mahali pako. Tafuta, huenda kuna jukwaa la wajinga. Hapo patakufaa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ujinga wakati fulani kufuata amri au maelekezo ya mjinga au mwendawazimu.

Mahela avuruga sheria na taratibu kwa makusudi, halafu Lisu akate rufaa. Big No.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaza tu,hivi tume ikiamka na kusema TL kavunja kanuni moja,mbili,tatu na kwa sababu hiyo inamuondoa katika kinyang'anyiro cha U Rais,ni lipi litatokea?Kuna watanzania kiasi gani watakuwa nyuma ya Lissu?Tumeshuhudia uchaguzi wa serikali za mitaa ukivurugika na leo hiyo serikali za mitaa zipo chini ya Chama kimoja nchi nzima,nini kimetokea,Waziri na wasimamizi waliovuruga wamefanywa nini?Vyama vya upinzani vimeenguliwa wagombea 300+ kwenye nyadhifa mbalimbali,kipi kimetokea?
Wakati mwingine ni bora kurudi nyuma na kumpa nafasi mwenye nia mbaya aonyeshe nia yake vizuri.
Nahisi unawaza ya kuwa kuna watu wanaoweza kupoteza maisha kutokana na fujo,je bila fujo si tayari kuna watu wamepoteza maisha kwa siasa hizi kutoka vyama vyote?
Binafsi naomba Mungu hata ikiwezekana kesho CCM ichukue ushindi wote kama ilivyokuwa kwenye mitaa na sisi tuendelee na maisha yetu.
 
Pamoja na Mseven kukaa madarakani muda mrefu lakini ni mjanja sana huwa anaacha sheria ichukue mkondo wake hata kwa viongozi wa serikari na jeshi.
 
Wewe ndio lissu mwenyewe, unajisupport
 
Ngoja tuone sasa kati ya Tanzania Vs R.Armstadam nani atapapaswa.
 
Hilo jina la Bia Yetu lina mfanano fulani na lile la Pombe. Isije kuwa wewe ndiye Mzee mwenyewe ukiwa umejificha nyuma ya keyboard kutuletea na kutetea pumba zako hapa jukwaani.
 
Hilo jina la Bia Yetu lina mfano fulani na lile la Pombe. Isije kuwa wewe ndiye Mzee mwenyewe ukiwa umejificha nyuma ya keyboard kutuletea na kutetea pumba zako hapa jukwaani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] si unaona unavyojitekenya na kucheka wewe mwenyewe. Hizo ni takwimu za mfa maji, akijaribu kuokoa maisha yake.
Pole najua itakuuma hadi October 27 kura zitapanda hadi 98%
 
Lissu kuendelea au kutokuendelea na kampeni huna influence nayo. Kimsingi hahitaji hata ushauri achilia mbali maoni yako.

Kwa taarifa yenu Lissu anasonga mbele na hakuna kinachomsimasha. Wapelekee waliokutuma kuja kupima maji habari hiyo.
Povuuuuuuuuu
 
Bora ifike tarehe 28/10/2020 hizi kelele ziishe tufanye shughuli zingine.
 
Reactions: UCD
Iko deep sana hii, huwa natamani siku moja nchi hii tuungane tuwe wazalendo wa Taifa na sio Vyama vyetu. Lakini watu wako radhi binaadam wenzao wafe ili tu wao wabaki madarakani, kwani binaadam tutaishia wapi, tunapita tu hii dunia, yuko wapi baba wa Taifa, yuko wapi mzee Mkapa, wapi Sita n.k walikuwa viongozi lakini leo hawapo, kwa nini umuue binaadam mwenzako, umdhalilishe, umtese... kisa tu anadai haki yake, na iko wazi. Kuna haja ya kujitafakari upya sisi wananchi na viongozi wetu.
 
Safi sana chuma, washike hapo hapo,
Wadhalimu Wana mwisho,Kama Walishindwa kumuua Mandela,Hawa makaburu weusi,hawatupi shida,umewakamata vzr,kazia hapo hapo
 
Safi sana chuma, washike hapo hapo,
Wadhalimu Wana mwisho,Kama Walishindwa kumuua Mandela,Hawa makaburu weusi,hawatupi shida,umewakamata vzr,kazia hapo hapo
Tuambieni Lissu Yuko wapi? Katii amri ya necklace? Kama katii atakuwa mtu mshenzi sana
 
Reactions: UCD
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…